JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mpe neno moja
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Hi guys, Nipo tu hapa najiuliza ni kwanini asilimia kubwa ya wengi wetu hatupendi kuambiwa ukweli?? Ukitaka ugombane na mtu sahii njia rahisi ni 'pesa' na 'kumchana' Yaani kumuambia mtu ukweli...
23 Reactions
94 Replies
5K Views
Huyu ndiye kijana ambaye wakati alipokuwa hahitaji mke alimvunja mguu kaka wa dada. Sasa anamhitaji dada ameamua kujipendekeza kwa kaka eti nipe mke ninakupenda nitakuajiri kwenye kampuni zangu...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Ningekuwa na uwezo wanafunzi shuleni wangejifunza Love shuleni ili tupunguze matatizo yanayosabishwa na mapenzi na mahusiano... Kama Reproduction wanaisoma basi na Love wangeisoma. Wangesoma 1...
0 Reactions
7 Replies
678 Views
Habari wana MMU, acha niwaletee hiki kisanga cha wiki. Nikiwa zangu mjini kwenye harakati za kutafuta nguo za kupendeza, nakutana na demu niliyewahi kukaa nae kitaa kimoja miaka ya nyuma. Bado...
10 Reactions
33 Replies
3K Views
Habari ya weekend Leo naomba niwaulize enyi kaka zetu na baba zetu, aliyewaambia kuwa ninyi mkienda msalani kwa haja ndogo hamtakiwi kubeba maji ni nani? Utaona mkaka mtanashati kabisa, kwa macho...
40 Reactions
327 Replies
17K Views
Jana nimeamua kumuandikia mrembo ninayemzimkia kitambo barua iliyokuwa na maudhui ya kumtongoza. Hopefully ata enjoy maana siku hizi hamna vitu kama hivyo nadhani. Barua yangu ilikua ya muundo wa...
7 Reactions
11 Replies
1K Views
Kuanza naomba kihongozi wa umu hasiwe anafunta abali zagu umu mahana siyo kira mutu anatafuatiliya umu sihasa au mambo ya mana. wengine wako umu kubuludinsha akiri zao sasa musiwe munafunta abali...
11 Reactions
91 Replies
8K Views
Salamuni wakuu. Ase kuna kitu flani huwa kinatokea sana kwenye hizi smartphones zetu na sometimes kinapelekea mtu kujikuta anajicheka, sometimes kupelekea kuomba msamaha kwa maneno mengi ili...
5 Reactions
59 Replies
9K Views
Ningependekeza tuwa-suprise Magu na Lissu tumpe kura zote Hashim Rungwe kutoka CHAUMA. Pia nahisi tutazi-suprise media pamoja na mabeberu[emoji28][emoji28]. Au mnaonaje wananchi.
2 Reactions
8 Replies
603 Views
Mpendwa Ta Kamugisha, Dhumuni la barua hii ni kutaka kukupa jibu la ombi lako ulilonifikishia takiribani mwezi sasa.Ila kwanza naomba unijulie hali yako ili nipate amani na furaha moyoni...
1 Reactions
130 Replies
14K Views
Wanasaikolojia wamebaini hatua 5 za majonzi baaa ya kupoteza mtu au kitu - mfano umefiwa, umepoteza mali/sifa/cheo. Hatua ya mwisho ni kukubaliana na hali. Katikati kuna hasira, kukataa uhalisia...
2 Reactions
2 Replies
387 Views
Yaani kuna wale ambao tunampendaga msichana/mvulana mpaka tupate namba ya simu. Mkishachat ndo umwambie ukweli. Yaani sometimes wapo ambao wako funny and romantic kwenye phone conversations...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
Habari zenu ndugu zangu, Mimi ni kijana wa miaka 37 kwetu tumezaliwa 2 tu, ila kuna ndugu zangu kama wanne (4) walilelewa na baba yangu mzazi katika makuzi yao, baada ya baba yangu kunifukuza...
3 Reactions
92 Replies
7K Views
Ilikua 2017 nipo mahala na rafiki zangu tunapiga story..ujumbe wa mpnz wng ukaingia ilikua ni picha ...kajipiga kwenye paja lake na Ilionekana Jina langu limeandikwa pale yaan ROBBIN. bas nikajua...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Habari zenu akina members wote humu nimeona nitumie kiiengereza siunajua kinapanda sana lazima ukichanganye kidogo Tunaelekea uchaguzi mkuu na unajua wale watu wa mjengoni vile hua wanakua...
0 Reactions
0 Replies
400 Views
Hapa naamini ni jukwaa mchanganyiko na hoja pamoja na mijadala ya kila namna hujadiliwa hapa. JINSI YA KUFUTA/KUSHINDA KESI KWA KUTUMIA SAYANSI YETU WAAFRIKA. mahitaji -mvinje/mwanzi wa njano...
1 Reactions
62 Replies
24K Views
Je, ni kwanini Makondakta wa DalaDala nguvu zao nyingi za Kudai Nauli kwa Abiria wao huziweka sana kwa Abiria tu wa mbele na nyuma lakini mara nyingi mno wale Abiria wanaopenda Kukaa Siti za...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Break It.English ni lugha rahisi hebu ukitaka kuongea kuongea kingereza njoo hapa. Hata kiwe broken sawa tu. Tunajifunza wote Let's go..
0 Reactions
4 Replies
439 Views
Back
Top Bottom