Reo nirikuwa bize sana na kazi ya nduka ndio maana tagu hasubuhi siko umu na simu irikuwa kazini kwa dura akiweka mziki ili husiku nije nisikirize. Poreni na majunkumu ya apa na pare na sasa tuko...
Habari guys.
Hv unajisikiaje unaingia guest/logde na demu wako chumbani ukakuta maneno kama haya nyuma ya mlango na vyooni kote. "KUWA MAKINI UKIMWI UPO NA UNAUA" Hapo kumbuka umekamia mechi na...
Nimekaa nimetafakari nimegundua wanawake tunapitia mambo mengi ya ajabu sana. Yani unakutana na huyu ana kitambi kama gunia , kibamia, ukienda kwa mwingine ana muhogo wa jang'ombe lakini dakika...
Mgonjwa:kwa hiyo dokta saa hivi unanipeleka nyumbani.
Dokta:ndio naona sasa umepona kabisa inafaa ukakae nyumbani.
Mgonjwa:safi sana nafurahi mno maana ni siku nyingi sijaona mke wangu na watoto...
Hii si ya kukosa, hebu tukutane leo aise.
Kuna Reggae za kutosha, sweet, dancehall, roots.
SAMAKI ni kama woooooote, hebu fanya tuipendezeshe weekend yetu kwa samaki choma na divai na mvinyo...
Japo kuna wasichana wanavutiwa sana na mimi lakini hakuna namna ya mimi kuwa na wao kwa sababu mini kwanza ni maskini sina uwezo wa kuwahudumia, japo wakiniangalia wanadhani mimi maisha bora...
Siku hizi kila siku lazima niende kwenye kampeni, kwani nimegundua kwenye kampeni kuna watoto wa bure na wakali,
Kuanzia ile siku ya Uncle Magu pale Jamuhuri, kuna viumbe walishushwa na ndiga...
Kuna watu imefkia hatua tumebatizwa majina na kuitwa njaa kali. Kama uliwai kupitia hii hali au uliwai kuitwa njaa kali au bado umepewa nick name ya njaa kali share experience yako hapa.
Kama...
Jamani eeh...
Nimeona nivunje ukimya maana kila mtu yupo kimya
Naombeni mnialike Krismasi jamani mimi hata sili sana, kuku wawili, nyama ya ng'ombe kilo moja, pilau sahani tatu, nne au tano...
[Verse 1]
Hello, hapo vipi sijui unanisikia
Hello, na maneno natamani kukwambia
Hello, tafadhali usije nikatia
Hello ooh, ona mpaka nasahau kusalimia
Habari gani? Leo nimekukumbuka sana
Na mama...
Wajumbe, ni Kazi Tu au Kazi na Bata!
Haya maisha bhana fanya yote ila hakikisha unafurahia, viwango vya furaha vinatofautiana kutoka ndogo hadi zile kubwa ambazo hadi watu wengine watajionea...
Kuna msichana nimekuwa nikimfuatilia siku nyngi Sana bila mafanikio..... Nimetumia kila Gia lakin nimekuwa nikingonga mwamba..... Sasa leo asbhi asbhi amenipigia simu eti anataka twende beach...
Kichwa cha habari kinajieleza na huu ndo utakuwa uzi wangu wa mwisho na labda tu kuleta mrejesho. Namtaka mzungu tu wa kike, nipe site wakuu humu ni mambo yote
Mimi uanaume wangu bado jipya...
Nikiwa Shule ya Msingi mwalimu wetu wa sayansi aliwahi kutuambia kuwa, binadamu yeyote akiamka asubuhi lazima ajisaidie haja kubwa, na ikitokea siku hujapata haja kubwa mara baada ya kuamka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.