Wabariiii wapendwa
Jaman natafuta kiben10, napenda awe hb, sio sura kama ya harmorapa.
Yaani nataka awe anadikeza, ananifulia, ananiogesha, ananipikia, ananidrive nikienda job.
Yaan chochote...
Joto la uchaguzi linazidi kupanda.
Kila saa natoka JF naenda Twitter natoka Twitter narudi JF, nazurula mitandaoni kama sina kazi ya kufanya vile.
Na mbaya zaidi sijahakiki kitambulisho, hivyo...
Dear Manka,
Unaweza ukawa na sura nzuri, umbo zuri na kila kitu kizuri lakini Masele kachepuka...
Masele haangalii uzuri wako, anaangalia ni wapi atatimiziwa haja zake, ni wapi kiu yake...
Binadamu hawaridhiki, ukiwasaidia sana wataona watageuza msaada kuwa jukumu lako, siku ukikosa wataanza kukunanga kwamba unaringa, una roho mbaya.
Chunga sana kusaidia saidia mara kwa mara.
Kwa kawaida kwenye ibada wanazo shiriki wengi, kunakua na vipindi mbalimbali. Kuna praise and worship, kuna mahubiri, kuna maombezi na kadhalika na kadhalika. Upande wa siasa, waungaji mkono wa...
Kumekua na wimbi kubwa la malalamiko ya watu kwa marafiki, ndugu hata wapenzi ambao vipato vyao ni vidogo au vya Kati ; kunyanyasana, kuchukuliana kawaida , kupotezeana mpaka kufikia kuvunjiana...
Wanajopo habari za jumapili, wale ndugu zetu wakristu natumaini leo mmeshiriki ibada katika maeneo mbalimbali.
Na wengine waliokuwa na mhe Rais mmeshiriki kwa kuchangia ujenzi wa msikiti of which...
Walioolewa au kuoa kwa mahari ya debe la mkaa, mahindi, mchele, pumba za kuku, sahani moja ya chipsi n.k au kwa mifugo kama kuku2, mbuzi 1, bata 3 n.k au kwa malikauli, njooni mtupe uzoefu sisi...
Nimekuwa nikiwatafakari hawa wadudu wawili na sifa zao ambazo kidogo zinataka kufanana, Siafu mwenye tabia za kung'ata kwa kushtukiza maeneo nyeti ayajuayo yeye hata kama ulishaondoka eneo la...
Mwanaume Pambana Matatizo Mengine Yanahitaji Pesa na Sio Maombi.
Utakuta mtoto wa kiume unapata jaribu linalohitaji kutatuliwa kwa pesa wewe unakimbilia kwenye maombi, umaskini ni mbaya sana...
Wazoefu mnipe kautaratibu inakuaje mna dumu kufanya mazoezi mwaka mzima bila kuacha? au mnatumia mbinu gani?
MAZOEZI NI AFYA
MREJESHO: Siku kama ya leo ya tarehe 9 jul 2018 ndo nilitoa hii...
Nimesikia jinsi gani wanavyofanya test ya COVID-19/ Corona pale Ujerumani. Ni njia nyepesi unaweza kuifanya kwako nyumbani.
Hapa taarifa:
1) Kwanza chukua chupa cha bia. Fungua na peleka chupa...
Inasemekana Warusi walikuwa wakimgwaya sana Dr. Shika kwa ugenius wake na akili yake iliyokuwa na uwezo mkubwa (si bure kuna kitu walimfanyia). Dr. Shika kwa manufaa anayoyajua yeye, inaonekana...
Mfano unalipa chumba elfu 30 kwa mwezi.
Inafika mwisho wa mwezi umejibana bana katika kipato/mshahara wako umebaki na tsh 20000(kuna watu wamecheka hapa)... Unafika kwa landlord anakuzingua...
Maisha yamebadilika kwa kasi sana kuna mambo ambayo yalikuwepo zamani Ila kwa sasa hayapo
Moja ya mambo ninayoyakumbuka zamani ni kwamba zamani tulikuwa tukinunua laini tuna anza kutumia papo...
Nakumbuka kukutana na binti mmoja mrembo asiye kifani, ilikua siku birthday yake, nlienda nikazuiliwa getini na Mhudumu kuingia ndani nikaambiwa tu kwamba binti ni mzima wa afya njema ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.