UTABIRI! Leo usiku kuanzia mida ya saa mbili karibia vituo vyote vya habari (radio na tv) nchini vitakuwa vinatangaza taarifa ya habari mbali zilizojiri hapa duniani kama ilivyo kawaida.Kwa hyo...
Hebu tuachane na mambo ya uchaguzi na corona kwanza. Tu refresh ubongo kidogo
Kama dunia yetu hii tunayoishi ingekuwa ni kama vile KIKUNDI CHA WHATSAPP (WHATSAPP GROUP) je ni nani...
Hello guys 🖐
Kama kichwa kichwa kinavyojieleza, leo nisirefushe Sana maelezo, main body nimekuachia wewe, conclusion nitakuja kuimalzia Mimi.
Karibuni👇
Ujinga ni kuchukia unapofumania wakati we mwenyewe una michepuko ya kushato!
Ujinga ni kushabikia waliokunyima ajira waendelee kukunyima
Ujinga ni kupanga foleni ya NIDA na hujajaza hata ile...
Jamaa mmoja alikuwa ni mlevi wa kupindukia wa pombe za kienyeji,ikafika wakati akaamua kuacha kunywa pombe na kuithibishia jamii kwamba yeye na pombe basi tena.
Siku moja baada ya muda mrefu...
It is said a pizza is made round, packed in a sqare box and eaten as a triangle. If you can figure out why then you can out women.
Kwanini Pizza inatengenezwa kwa Umbo la duara, inapakitiwa...
I'm from mara Mkurya O.G
Nishaanza kuwa mwenyeji from 26 July ndo nimejiunga. Wengi walishangaa utitiri wa thread nazodondosha kwa siku au SAA. Mnisamehe ushamba wa JF Ila Jf has a lot to learn...
Utakuta umeenda ofisi flani kiofisi umekaa zako na kazi zako simu imeita umetoa iPhone 11 yako umeongea umemaliza unaskia kamjadala kaajabu watu wanaongeleshana “ yaani mimi nitoe milioni yangu...
Nina kawaida kila mshahara ukiingia sitoi pesa bank mpaka tarehe 01 ndio naenda kutoa pesa yoteee yaani haijalishi mshahara umeingia tarehe ngapi, hata ukiwahi tarehe 22 sitoi pesa bank mpaka...
Habari za Jumapili?
Katika maisha unapitia na changamoto kama hizo, nina mikopo japo sio mikubwa sana lakini inaniweka wasiwasi sana nisije nikaenda jela bure natafuta namna niwalipe madeni yao...
Yaani katika dunia hii bora uwe na akili lakini ukose elimu kuliko kuwa na elimu alafu ukose akili. Nimeamini hili nimejiuliza mambo mengi hapa duniani yametokana na akili kwanza ndipo elimu...
Kuna Tamasha langu dogo tu nililiandaa jana mahala fulani ambako kiukweli huku huwa kuna Fujo hasa kutokana na Historia ya Wakazi wa huko. Hivyo basi katika kuamua kujizatiti ili lisiharibike na...
Habari za humu Wana JF
Ni katika kuleta kitu tofauti tu ila hakina maana halisi na jinsi labda kusema ni itatokea kweli hapana ni kutoa tu mawazo kujiweka katika ile hali ya kuwa kuna kitu...
.......... Hakika mkivurugikiwa ntafurahi, naelewa tuko wengi huko na tushajichanganya vya kutosha, na vurugu lenu nasi linatuhusu, ila kwa mnavyotufanyia na msivopenda hata kutuona machoni penu...
MANENO YA ma MC KWENYE HARUSI ZA Masaki,Oysterbay,Upanga na Mikocheni
>Karibuni wageni waalikwa kuna cocktails ipo pale kwa ajili yenu
>Mwenye gari namba DTA142 amepaki vibaya gari yake inaziba...
Namfananisha ndugu yangu GENTAMYCINE Na Tundu Antipas Mughway Lissu.
Hii ni kwasababu sifa zote za GENTAMYCINE alizonazo au anazojinasibisha nazo ni za Tundu Lissu.
Mfano
Charismatic fella
Pure...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.