Habari wana JF natumain my wazima na buheri wa afya NJEMA
Leo nataka nikupe hii
1.ulisha wahi kuingilia kitu hakikuhusu kikakurudia ukaonekana wew ndo una makosa?
2.kuitika huku hujaitwa we we...
Kichwa kimeanza choka, ebu niwaze Taifa...
1. Taifa ambalo binti zake wakimwona Mzungu wanadhani ana hela.
2. Taifa ambalo ukiongea kiingereza unaonekana umesoma.
3. Taifa ambalo bank...
natumai hamjambo wajumbe.
wakuu kila mmoja wetu ataje mitaa 5 ambayo humpotezea mda mwingi kuitembelea awapo hapa mjini jamii forums.
ifuatayo ndo list ya mitaa 5 nayoitembelea zaidi kwa upande...
Habari ya long weekeend wadau
Naulisa hiviiii. Bangi ina madhara gani? I wish siku moja niijaribu walau pafu kadhaa. Pia nasikia haiumizi mapafu kama sigara....
Asante kwa mchango wako...
Kwa kweli Pombe ina ka-vibe kake fulani hasa ukiwa na washikaji au Mbebezi wako halafu mkatoka na usiwe na pesa ya mawazo. Yaani piga kilaji, piga nyama, huku ukiwa na uhakika wa usafiri wa...
Ni vizuri kama marafiki tuwe tunakaribishana katika kupata chai,mlo wa mchana,mlo wa jioni na mlo wa usiku.Tunaamini mada zingine huwa zinakuja baada ya kushiba....Mwana jf popote pale ulipo...
Jamaa kaamka asubuhi kavaa track suit akamuamsha mkewe
MUME:Amka twende jogging mke wangu?
MKE: Alaaa kwa hiyo una maana mi tipwatipwa?
MUME: Hapana si hivyo jogging ni nzuri kwa afya.
MKE...
Huwa nashangaa sana, mimi sio handsome kwanza mimi mweusi kama mkaa, sina hela, sijui kuvaa (sio bishoo) yaani muhuni muhuni kimtindo.
Lakini wanawake kibao shobo nyingi hawanipingi kivyovyote...
Zamani mpaka ushike japo paja la mwanamke apo umeangaika vya kutosha.
Siku izi ata ukiwa na elfu 10 uwakika wa kupata ngono ni mkubwa.
Ukitaka kuamini pita ata uzi wa kula tunda kimasihara.
Ndugu ndege JOHN
17.nov 2018
TAARIFA YA KUJIUZULU UANACHAMA WANGU
Mimi ndugu ndege JOHN niliyekuwa mbunge kupitia CHAPUTA natangaza kujivua vyeo vyote na uanachama wangu.nimefanya nikiwa na akili...
Binti alienda kwa daktari huku analia kwa uchungu!Mazungumzo yao yalikuwa hivi:
Dr:Unalia nini?
Binti:Nimemtukana boyfriend wangu kwa kumwambia yeye na mbwa mkubwa!
Dr:Heeee!Kwa nini...
Wandugu, Hamjambo,
Leo naomba nimwage hapa hadharani siri yangu moja niliyoificha siku nyingi kuhusu wana JF mbalimbali.
Siri hii ni majina ya mkato (nicknames) niliyowapa baadhi ya wanaJF kwa...
Nilikuwa nimesafiri yapata wiki nne zilizopata. Utaratibu niliojiwekea ni kuhakikisha nafanya usafi wa nguvu katika nyumba yangu kabla sijafiri, ikiwa ni pamoja na kuhakikisha hakuna uchafu wa...
Wana Jf Inakuwaje!
Tunafupisha maneno sana.
Mfano:
Magufuli - Magu
BMW- BM Biieemm
Manchester united - Manii
Manchester city- Citee
Bayern munich- Bayan
Endelea.....
Kwa habari zilizotufikia kwa Usiri mkubwa ni kwamba Wajumbe ambao inasemekana sio watu wazuri baada ya kuonesha makali yao kwenye chaguzi mbalimbali. Inasemekana wataingia kusahisha mitihani yote...
Jamani mimi nina swali kwa wanawake, hadi leo sijajua ni kwanini wanawake wengi wanapenda sana kuwa na mahusiano ya kimapenzi na ma deejays hata kama anafahamu ya kuwa yule deejay ana mpenzi wake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.