Habari wanajukwaa, Nimefikiria sana leo na kugundua kamchezo kamoja kazuri sana na kanafurahisha naomba tucheze, kanahusiana na kugeuza silabi za neno ambapo ya mwisho ukiitanguliza mwanzo na...
Kuna movie flani hivi inaitwa Machete ya kitambo kidogo ilikuwa ni noma,
Kuna Mjuba Usoni ana Ngeu kinoma sio Ngeu tu ni Ngeu zilizotokana na michanjo ya Visu, ndio wa Kumwita Machete,Ana Roho...
Habari ndugu, jamaa na wapendwa
Nimekuja Mwanza kidogo, lengo la theard nilikuwa naomba kufahamiana na baadhi ya members humu, tufahamiane baada ya kuishi na fake identification sawa
Nipo maeneo...
Natumai hamjambo wanabodi,
Wakuu sio siri mitandao ya kijamii imetupatia tabia mpya ambazo katika uhalisia hatuna, tabia hizi za kimtandao zimetufanya tuwe na mbwembwe, show off, chai na mizaha...
Wana Jamvi,
Naombeni namba ya Airtel ya Dr. Kikwete, kuna kitu muhimu nataka kumshauri. Kuna mtu amenipigia analalamika ati kwa nini ameachwa kwenye baraza jipya la mawaziri. Mie nataka...
Wanajeshi ni wapole bt ukiingia anga zao ni watu hatari sana,kuna chinga1 wa viatu aliwahi kukatiza eneo la kambi akiwa hajui kama hairuhusiwi, jamaa walimdaka wakampigisha tizi akawa analia ka...
Miaka ya nyuma kidogo alikuwepo mdada pale Ambiance. Alikuwa anaitwa Vanesa kisu cha maana yani. Mrefu mnee kidogo maji ya kunde hivi ana mwanya na macho ya uchokozi sauti nzuriii. dah kila...
Heshima yenu wadau.
Natarajia kwenda kuanza maisha Mtwara, naomba kujuzwa gari lenye huduma za kuridhisha na gharama affordable nikiwa natokea Dar.
Lodge, gesti ambayo ina mazingira salama na...
Waungwa nawasalimu.
Ningependa kuulizia haya majiko yanayotumia pumba za mpunga/maranda ya mbao ambayo hutumiwa sana na wachoma chips hasa maeneo ya DAR...
Niliyaona mwaka 2017 Ila kwa bahati...
Umefika wakati sasa ndugu zangu tuanze kufahamu matumizi sahihi ya simu, Iweje leo mtu unakuwa na picha nyingi kwenye simu kiasi hiki? Hiyo sasa simu au Camera cha kusikitisha sasa hizo picha zote...
Katika miezi hii na tunakoelekea naona , minyuzi ya wagombea na wagombaniwa imeshika hatamu kila pembe ni uchaguzi na wachaguliwa ila sio dhambi tukijipa break kidogo.
Maisha yana mambo mengi...
Habari polen na mihangaiko ya kutafuta rizik .
Niende moja kwa moja katika mada kuu .
Wewe mrembo wa JF .popote ulipo nakuachia Laana za kula nauli na kusema uongo ,ukaona umenikomoa umesahau...
Amani iwe kwenu. Aisee tumetoka mbali sana, ashughulikiwe aliyegundua simu hasa za mkononi.
Ilikuwa mtu unafunga safari kwenda kumtembelea mtu unakuta na yeye kasafiri.
Kupata taarifa za msiba...
#Semanao
Kama wapo vijana katika umri uliotajwa hapo juu huu ni Uzi kwa ajili yenu all genders no discrimination...
It seems like mpo kimya na wapekwe Sana humu ndani.
Tiririkeni hapa....Fanyeni...
imekua ni aibu sana kujamba mbele za watu au kwenye gari nk hv ni ajabu kwani kujamba mbele ya mpenzio? maana mm nimekua na tumbo kujaa ges sana na kutoa ushuzi huwa sioni aibu kutoa ushuzi mbele...
Aliye wapembua na kuwaajiri pongezi zimfikie, ukikaa pale ukiwa unasubiri usafiri huchoki kungojea bus, sura safi, warembo wakarimu pia wana chura ya kutosha.
Huu ni utalii wa ndani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.