JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ndugu zetu Wana MMU kwa heshma na taadhima napenda kuwataarifu rasmi kwamba hatimae Money Penny na superbug ni mtu na mchumba wake rasmi. Tunaendelea na taratibu za kifamilia kama Mambo yakienda...
11 Reactions
107 Replies
6K Views
Maishaa ni safari au wengine husema maisha ni sinema kama Isidingo. Unapitia mengi katika safari ya maisha. Je, ulishawahi kubahatika kuwa na mahusiamo ( serioues relationship) na jamii ya kundi...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Kuna jamaa yangu kanichekesha sana, miezi 2 iliyopita alienda Dar es Salaam, kituo cha kwanza kwake ilikuwa kuziona hizo barabara za flyover, ili apate kusafiri kwa kupitia juu. Sasa anadai...
0 Reactions
4 Replies
632 Views
Embu weka model yako hapo. Mimi natumia Samsung S9
1 Reactions
36 Replies
2K Views
Ile nyota mtu anaonanga baada ya kupigwa kofi [emoji112] inaitwaje?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Binafis sijui kipi nikipi hebu tujuzane kijana ni bora aoe kwanza ndio atafute pesa au atafute pesa kwanza ataoa baadaye kipi ni kipi tujuzane
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Imagine nikiwa mdogo nliambiwa ETI Range rover haziruhusiwi kupaki benki, kwa sababu eti zina speed kali kwa hiyo zikitumiwa na majambazi kupora, polisi hawawezi kuzifukuzia wakazipata. Halafu...
3 Reactions
14 Replies
884 Views
Wataalamu wa mambo Wanasema Jumatatu ni siku ambayo Watu wengi huwa na Msongo wa Mawazo (Stress) Ukilinganisha na siku nyingine za wiki, Wengi waliohojiwa wanasema chanzo ni ugumu wa kubadirisha...
1 Reactions
2 Replies
514 Views
AMRI KUMI ZA MUNGU.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Jina lako la ukweli unaitwa Nani? Funguka
0 Reactions
46 Replies
2K Views
😅😅😅ijumaa yangu inakuja inakata,inakuja inakata🤣🤣🤣hata siielewi elewi bado naendelea kuizoom tu 🧐🧐🧐🧐🧐 Yako ikoje? Umepanga kwenda wapi leo?kuwatch movie,ball,kuruka kwanja,kuchil na bae...
8 Reactions
140 Replies
5K Views
Wadau habari zenu, Naomba msaada wa haraka sana. Jana nimepiga mitungi mingi mpaka saivi nahisi kuna hangover kichwani naombeni mnisaidie kitu cha kutumia ili niende kazini.
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifikiri ni lugha ipi Ina maneno matamu ya kimahaba ambayo unahisi ukimwambia hata mpenzi wako anafurahi na kuridhika. Je, ni kihindi za Kuch Kuch Hota Hai? Ama ni...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Tuliopo samaki samaki mlimani city tujumuike.. Uchumi wa kati ndio huu tusherekehe kidogo kidogo
1 Reactions
4 Replies
989 Views
Mimi naanza na hiki kitabu I really liked this book, I've listen the audio book, it was read by a woman and a man, the readers were excellent and of course I cried, which is annoying when you...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Natumai hamjambo wanabodi Wakuu inakuwaje hawa mabinti wadogo wa Arusha & Kilimanjaro wenye umri wa 18-24 wanakula ulabu sana. Nimekua na marafiki wengi wa kike toka mikoa hiyo lakini...
3 Reactions
61 Replies
4K Views
Uzi huu mfupi tu lakini naomba tuutafakari sana. Nini future ya maisha yetu sisi Vijana kwa ugumu huu wa maisha na kukosa kazi huku? Maisha yamekuwa magumu sana jamani kama vijana nini tufanye?
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wajumbe wenzangu sitaki kupoteza muda, naomba tusemezane hapa tu kuwa leo bata letu tunakula wapi. Mwisho wa uzi.....
0 Reactions
26 Replies
1K Views
Kwa upande wangu napenda kula kichwa aise🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️ Ninaweza nisile ugali aloo🤪🤪..ninakisosomola ni kinouma🤸‍♀️🤸‍♀️🤸💃💃💃💃🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️ Sasa wale watu wa kuenda extra maili sasa😅😅namaanisha...
21 Reactions
284 Replies
13K Views
Kuna msemo usemao kuwa hakuna mtu aliyezaliwa akiwa anajua mambo yote, maana yake ni kwamba kila kitu tunajifunza kutoka kwa watu wanaotuzunguka. Kuna watu wamefundishwa kunywa pombe na...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Back
Top Bottom