Aise! Kwani kingereza mbona watu wanakipendelea Sana. Yaani imefikia wakati kingereza mnakiona dhahabu Sasa.
Kuna watu bana ukimtusi kwa kutumia lugha ya kiingereza hakudiss kosa utumie kiswahili...
Kwa mara ya kwanza msiba mzito umeisha salama bila kuwepo na habari za udaku. Tulizoea huko nyuma magazeti mengi yalizoea kufanya udaku kwa kukuza story ili yauze nakala nyingi hususani kwenye...
Niwape pongezi kubwa wanawake wamejitoa kwenye utegemezi na wanachapa kazi kweli kweli. Kule kuchagua kazi kumeisha na sasa hivi utawakuta maeneo mbalimbali ikiwemo kwenye udereva, kondakta, hata...
Wana JF habari zenu nyote.
Nina furaha kubwa kuwa hapa tena baada ya kumaliza majukumu yaliyoniweka bize sana kiasi kwamba ilibidi kufanya maamuzi magumu ya kuacha kutumia Social Media maana...
Habarini za maisha Wanaume wenzangu poleni na majukumu ya kifamilia na kitaifa kiujumla,
Natambua vizuri mchango wenu katika kujenga Taifa nyie ndio mliopeleka Tanzania katika Uchumi wa Kati...
Habari za mida Hii!?
Nasemaje kama nafoka nitafoka sana tu ni hivi maisha unatafuta kwa nguvu zote unapigana huku na kule,
Sio baadae Niwe Tajiri ndio ufe, Nionekane nimekutoa kafara hiyo haipo...
Hapa ndipo tulipofikia kimsingi ingekuwa enzi za JK au BWM ningewaambia ndugu zangu nimelazwa wodi gani kitanda namba ngapi ila kwa hali ilivyo humu humu jf mnipe pole inatosha.
Muhimbili ni...
Nilivoanzisha mahusiano na wewe nilikupenda Sana. Nilikuona ni mwanamke uliejielewa kumbe ulikua unapretend .
Hivi kweli wewe Ni wa kunivungia kiasi hiki mpaka unaniambia unajiskia kichefuchefu...
Hii nimeikuta sehemu fulani huko, hivi Kama ni wewe unaweza kuacha kazi kwa sababu Kama hii.
Kiukweli ningekuwa mimi hii kwangu ingekuwa ni fursa kazi na dawa. 🤣 🤣 !!
Kutokana na TAKUKURU kuonekana wamepewa meno kukamata wanaotaka rushwa na pia watoaji. Kuna hatari kubwa ya wanaume na wanawake wengi kukamatwa.
Tunajua jinsia ambavyo wadada wengi wamekuwa...
Mtia nia mmoja baada ya kushindwa kupita kataika kura za maoni ya kugombea ubunge,alisikika akilalamika kwa kusema. ''Wale sio wajumbe wale ni WATANZA NIA.Yaani pamoja na kuniahidi kwamba...
Juzi kati nilikutana na bidada mmoja mwenye bonge la Choo (trakoo),
Zero nikajitosa ili nijaribishe bahati yangu kama naweza toboa,
Demu ni alikuwa anaringa kinoma, kwanza ile kukutana tu kumpa...
Natumai hamjambo wanajamvi.
Wakuu kupitia uzi huu, kila mmoja wetu awatumie salam watu 5 awapendao hapa ndani, mi naanza kama ifuatavyo:
Salam za kwanza nazipeleka kwa KATOTO KAZURI, ujumbe: "mi...
Dah zamani nilikuwa siwezi hata kuongea na wanawake iwe laivu au kwa simu. Nikitaka kumpigia simu demu nafikiria vitu angalau maneno hata matatu ya kuongea naye dakika zisogee sogee.
Kwa sasa...
Husband: (Returning late from work) “Good evening Dear, I’m now logged in”
Wife: Have you brought the grocery?
Husband: Bad command or filename?
Wife: But I told you in the morning
Husband...
Sipendi kusikia jina langu linatajwa. Hata mtu akiniuliza ninaitwa nani natamani nimdanganye. Maana sijisikii poa kulitamka jina langu. Bora kuliandika na sio kutamka. Nikilitamka najiona sijui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.