Leo nimecheka balaa!
Lakini nimewapongeza makonda daladala wa barabara ya ya Bagamoyo kwa hatua ya kumuenzi baba yetu Mkapa.
Tuko Mezi Goig tonaelekea kituo cha Makonde, konda kaanza...
Kwanza hongera kwa wana Arsenal wenzangu kwa kubeba ndoo ya FA leo. Go Gunners
Back to topic, kwa madada wote mnaotafuta wenza bora wa maisha, kama hufanikiwi katika nyanja hiyo nawashauri jaribu...
Facebook kuna mchezo unaitwa Farmville, kuna wakati nilikuwa addicted kabisa, nilikuwa ninapanda mazao kuhakikisha baada ya masaa matatu yatakuwa ni ya kuvuna, nitaharakisha kila ninachofanya ili...
Habari wana jukwaa.
Kama kawaida ni jumapili tulivu nimepumzika naangalia Tv naona kuna tukio linaendelea Ikulu la mabalozi wa Marekani na Vietnam wanajitambulisha.
Sasa katika kujua hili na...
Hawa wajumbe wanaanza kujizolea umaarufu wa ajabu na picha zao zimeanza ku trend mitandaoni kama huna moja ama huwajui waulize wagombea wa chama
Mkuu Pascal Mayalla anaweza kukupa abc zao hao...
Habari.
Huu mwaka unaisha bila kujua unaishije. Bado nahisi kama mwezi wa 3 ulikuwa juzi tu. Lakini sasa hivi ni mwezi wa nane na hakuna cha maana nilichofanya kati ya vyote nilivyojiapiza...
mwaka2017 nilimaliza mwezi mzima sijalala ktk kitanda changu, siku ya kulala nakumbuka niliamka na mapele si ya nchi hii.. kwa kweli sitamani tena hawa wadudu wanirudie..!
I can't wait to meet my soulmate
I can't wait to love her
I can't wait to take care of her
I can't wait to put a ring on her hand
I can't wait to have children with her
I can't wait to grow with...
Natumai hamjambo wakuu.
Mara kwa mara machizi wamekua wanakuja kwangu, sasa nachojiuliza wakuu kutembelewa na machizi kuna ashiria jambo baya au ni hali ya kawaida?
Karibuni kwa michango yenu na...
Manka: Umechoka!? Oga, kula, Pumzika, lala Ukiamka Tunaendelea, Sina Muda wa kuanzisha Mahusiano mengine Usinichanganye kabisa chalaangu haikatai,
Na imeisha hiyo🤪🏃
Khabari za Saa hizi!
Wadau kama mnavyojua kesho Mambo flani hivi ya Maakuli mambo ya kupika pika vitu Vitamu vitamu 😁
Sasa kwangu mi hali nasukumizia na ntakalokutanalo kesho Sijui wadau...
Katika MwanaJF ambae natamani nione nyuzi zake tena ni ndugu ONTARIO. Huyu jamaa nyuzi zake ukizipitia kuna kitu unapata umri wake, uthubutu wake katika kutafuta, kama unapenda maendeleo...
Wakuu habari zenu,poleni na majukumu ya kulijenga taifa ,kwa wale wenye matatizo mbalimbali poleni kikubwa kuto kukata tamaa lengo la bandiko ili Ni kuwasaidia vijana mawazo mbalimbali yatayo...
Mimi ni mtumiaji wa pombe kwa muda wa miaka 26 hivi kwa muda wote nimekuwa nikinywa castle lager kama pombe niipendayo na mara chache sana pombe kali na wine wakati nasoma O-Level nilikuwa nakunya...
Weekend imekwendaje wakuu? Kitambo sana sijatumikia mtandao wangu mpendwa JF ni kwa sababu mambo yakiingiliana
Nna Kama miezi minne tangu nikimbie hom nlikozaliwa na kuja kuanza maisha mapya...
Kuna DEMU mzuri kama Malkia leo ameniangalia muda mrefu tukiwa kwenye daladala ya Gongo la Mboto kwenda Makumbusho nikajua maybe amenipenda,
Nikamfata nikamuuliza vipi? Mbona unaniangalia hivyo...
Habari za mida hii wakuu, poleni sana na msiba, R.i.p Benjamin William Mkapa 🙏😔
Jana bwana nilikuwa mitaa ya home hapa nimeskilizia kibaa fulani hivi nakunywa moja moto moja baridiii 🤗 muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.