JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
DEPRESSION is for people who have money.not you ,my friend you're just suffering from anger mixed with hunger
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanangu Wa Bachelor Of Art With Education Nawakumbusha tu,zile relationship zetu za Chuoni zilianza Kufa Baada Tu Ya Kuhitimu Chuo,Na Wachumba Wakaolewa Nasababu Inajulikana Kabisa. 1. Poor...
2 Reactions
12 Replies
988 Views
Nimeikumbuka leo nimebaki nacheka tu. Ni siku ambayo haikuwa rahisi kabisa kwangu ilikuwa ngumu mno, ILINICHUKUA ZAIDI YA MIAKA MIWILI NIKIWA NA WAZO TU LA KWENDA KUPIMA NA SIKUWAHI KWENDA...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari za muda huu wakubwa, I hope mko fresh kabisa, safi kama safi, safi kama poa, Poa kama good, Hivi kama hivi yaani..Anyways acha niende direct kwenye mada. Bas bhana kuna teacher mmoko enzi...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Mnijuze ukitoka, na Mimi mwenyewe nacheki mdogomdogo kwa njia ya sim banking hapa. Hapo mia naitupia play master nacheza online slots nikipata faida mia mbili itakuwa mia tatu. Nagawa kwa...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Tabia ya wanawake kuwaita wenzao Baby, mpenzi, sweetheart, Luv**** Waacheni wafarijiane.. waoaji ndiyo hawapo. Sasa yale majina walikuwa wamepanga kuwaita waume zao yamekwama wafanyaje...
3 Reactions
48 Replies
2K Views
Niaje Wajuba? Heri ya siku wa Kina Baba duniani japokuwa ilikuwa juzi kati. Kila mwanaume mpambanaji wa yale mambo yetu lazima hizi hukumu zinamuhusu Sana BLOCK na BLACKLIST, tunapata hizo hukumu...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari za mda huu wanaJf Poleni na majukumu (kwa wale wataftaji) Hongera kwao pia. MUNGU awajalie katika utaftaji wenu (kwa wale wafanyao shughuli halali) Kama kichwa kinavyojieleza pale juu...
1 Reactions
101 Replies
5K Views
Yangu haki siielewi ipoje ipoje na inaishaje maana kuna kipupwe cha ajabu. 😅😅imeisha hiyo....🥂🥂
8 Reactions
126 Replies
4K Views
Natamani ungekuwepo muda huu, sasa hivi ninapokuangalia machoni naona njia ya ulimwengu ninayotaka niwepo Walisema mapenzi haya hutokea mara moja lakini sikuamini mpaka muda nilipoona...
39 Reactions
3K Replies
85K Views
Ni bi mdashi flani hivi wa makamo miaka kama 39 hivi niko nae kwenye mahusiano nakaa nae jirani tu na hapa kwangu japo simzingatii sana, Ni Muda kidogo nilikuwa Sijatoboa sasa leo kama utani...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari wanna JF. Mtu anapopost video, picha au andiko lolote mitandaoni lazima apokee comments tofauti tofauti, Kuna zingine nzuri, zingine mbaya na zingine za kufurahisha. Ni comment gani...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Naukuu..." Fundi tafadhali sana nataka Mlango wangu unaonitengenezea Urefu usiwe Steve Nyerere na Upana Zamaradi Mketema, "
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa kweli Kama Kuna siku nilienjoy safari ndefu ni siku ambazo nimesafiri na ndege tajwa hapo juu.Jaribu na wewe utaenjoy mno
0 Reactions
47 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu? Nisiwachoshe sana maana najua wengine mnaendelea na majukumu yenu muda huu alafu inawezekana umekereka Sana[emoji16] *Inakera sana unakuta majirani na watu kibao...
3 Reactions
6 Replies
673 Views
Siku imepoa sana utafikiri mboga isiyo na viungo😎😎 Bora nijiwashe vyombo tu.😅😅 Imeisha hiyo👀👀👀
7 Reactions
118 Replies
7K Views
Usiombee maadui wanakuombea mabaya alafu wewe ndo unazidi kufanikiwa tuuuu[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123] 1.Huku kwangu leo ni rahaaaa tu kama midorali inazid kujaaa tuuu...
24 Reactions
471 Replies
20K Views
Ipo haja ya kuanzisha Jimbo la Social Media. Kura zihesabiwe kwa idadi likes, followers etc. Humo kina Steve Nyerere, Pilipili, Kapiga, E.mbasha, Mpoki, Dr. Cheni na Zama ndo wachukue fomu, sio...
1 Reactions
1 Replies
465 Views
[emoji837]BOSS anamwambia sekretari wake: Wiki hii tutaenda wote Serena Hotel kwenye mkutano fanya mipango yote. SEKRETARI (anamuaga mumewe): Tunaenda na bosi Serena hotel kwenye mkutano for 1...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
.
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom