Wasalaam wana bodi, kwa muda mrefu nilipotea jamvini kutokana na mihangaiko ya kutafuta mkate wa kila siku.
Kwa muda wote huo nimepotezana na dada yangu kipenzi SHUNIE,popote ulipo kaka yako...
Never give up on one another.
Love can overcome all forms of hate.
Love is strong.
Love is real.
Hold on to it and never let go.
Also. Always. Love God!!!
Leo sisalimii mtu,
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka acha niende spidi ya treni ya Umeme. Nilikua naskia story za konyagi kuwa ni hatari sana ukipiga afu ukaenda kugegeda. Sikuwai experience...
Wana CC, mko poa?
Heshima kwenu...
Kuna mambo yanaendelea hapa sijaelewa elewa ati.. Ukianzia na haya ya Eda ya Mamndenyi, source hapa ni Arushaone!
Afu kuna ishu ya Mr. Rocky na Dena...
Nahisi urembo wangu umevuka mipaka, wanaume wanahangaika sana kunipata adi nawahurumia kuna wanaonihonga viwanja wengne magari adi wengne wameacha adi familia zao kunipata mie kichwaBOGA. Sijui...
Ninalenga kuonyesha kuwa kutoka ghorofa moja mpaka jingine kunakuwa na kakibaraza karefu kidogo ili MTU anapoanguka asiende chini moja kwa moja aweze kukwama japo naweza kuwa nimevichora virefu...
Habari za majukumu wakuu?
Katika kuhangaika kutafuta mkate wetu wa kila siku. Leo nipo hapa Dakawa, Morogoro.
Kwa aliye pande hizi tutafutane. Nipo leo tu .kesho inshaallah nitaondoka hapa...
Hi Guys!
Karibu katika Chellenge. Tutadeal na numbers only kasoro sifuri (zero). Zero (0) its nothing, kwahiyo hatutaitumia. Nitatoa challenge kama tatu hivi. Na ntasoma mawazo yenu na ntatoa...
Habari wadau wa JF,
Wamiliki wa Samaki samaki waja na brand nyingine ya migahawa yao inayojulikana kama KUKU KUKU,mainly chakula chake kitakuwa Kuku Choma,Kuku Mchemsho etc
Nawasilisha.
😅😅😅nimejikuta nacheka kifala sana. Aki tena.
Nakumbuka kuna siku nilimuomba mama hela ya daftari enzi hizooo😅😅niko darasa la tatu akaniambia nitakupa pesa ya daftari kesho nenda shule hivyo...
Huyu dada Facebook anatumia majina tofauti kama Dayna Faby Kindole or Mwanaid Agripina na kuna account zaidi ya kumi zenye picha zake. .
I think she might be a musician, an actress or just...
Poleni na majukumu wakuu,. Kama heading inavosema apo kama kweli mungu yupo inabidi aniombe msamaha kwa sababu zifuatazo
Moja: Kama Mungu yupo yupo basi ni wazi kua yeye ndo alopanga maisha...
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Ebana eee ubachelor noma Sana, kilichonikuta Leo siwezi kumaliza mwaka na ubachelor.
Leo nimeamka asubuhi Mimi ni mikazi tu, mikazi na Mimi, nimeamka mapema...
SITARAJII KUOA Mbunge Wala Waziri Wala Mkuu wa Wilaya au Mkoa Wala Katibu Tawala.Labda Kama kunizalia watoto au kunifariji kimahaba.
DON NALIMISON, nitaoa Msanii mwenzangu ama Mwanamziki au...
Jamaa mmoja kenda ukweni yeye na mke na watoto, njiani wakanunua mazagazaga ya kumpa mama mkwe, wakaenda wewe siku nzima coz ukweni ilikuwa mbali ndo ivo kwa uchovu wakafika walipokelewa vizuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.