Nakumbuka jinsi nilivyokesha kuandika mistari na kuanza kujitongoza mwenyewe na kujikubalia kirahisi nikidhani kutongoza na kukubaliwa itakuwa kama kumsukuma mlevi.
Nilikuwa kila nikitembea...
Nimedetiwa na wengi ila huyu kiboko, anaitwa Denis James Kizitto. Huyu mkaka tulikutana mara ya kwanza hapo Mlimani City nikiwa kwenye shopping zangu akanitrap nikatrapika tukaanza mambo yetu...
Leo nimeangalia simu ya rafiki yngu nimeshangaa ana groups 8 za whatsapp na zte yko active. Ndio maana muda wte yupo na simu tu hta ukiongea nae yeye ana chat tu mpk saa nyingine anakera ukikaa...
Unakuta ni jitu zima unaliheshimu kazi kufoward mimeseji ya kutumiwa na watoto wadogo. We mama mtu mzima si ukae na wajukuu zako. Mkottongoz.wa mnalalamika vijana hatuna nidhamu
Unakuta Panya hajawahi kuona wala kukutana na Paka tangia azaliwe, lakini siku akimuona tu kwa mara ya kwanza anashtuka na kuogopa sana, kwa nini? Nani kamfundisha kuhusu Paka?
Hi wana chit chat
Leo nimekuja kueleza maoni yangu juu ya hawa wadada wenye mizogo,makalio aka misambwanda mmekuwa mkituumiza sana tukiwa sehemu mbali mbali, mara mpite mnatingisha, mara mpite...
Kila nikijaribu huwa nashindwa
Navunja
Nimejitahidi hiki cha sasa kina miezi mitatu na niliweka nia niweke kwa miaka miwili elfu 5 kwa siku.
Sasa kila nikiingia ndani roho flani inaniambia...
shoutOut kwa huyu Member wa jamii forum
Na mimi namuuliza hivi
Hivi nikiwa na 500k naweza pata Ps4 ambayo haijail break
Na jail break ni nini,ipo tofauti na kuchip?
Weekend njema wana jamii
Habari Wakuu mko poa,
Ipo hivi kulikuwa na misemo tofauti tofauti ambayo kama inafurahisha hivi unasema kitu harafu mbele unaweka kama mstari wa biblia flani hivi,
Mfano! " Ndipo Mkuu wa Nchi...
Muda mchache uliopita nikiwa nimetulia zangu mahali nikasikia dada mmoja analalamika kuwa dera lake ambalo alilinunua kwa mkopo wiki chache zilizopita limeibwa wakati alipokuwa amelianika. Na...
Mchekeshaji Kingwendu amesema leo Julai 6, anarudisha fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Ilala, na tayari amepata wadhamini wa kumsaidia kwenye kampeni zake na hataweza kufilisika, kuuza nyumba...
PICHA LINAANZA
"Yule Mwalimu aliyezoea kuwahi kama kawaida saa 12:30 tayari yupo shuleni"
MUDA UNAZIDI KWENDA
Walimu karibu wote wameshafika staff
MARA GHAFLA
"Kanaingia kale ka madam kazuri...
Hili ni gonjwa baya sana tena sana bora bahari upate matatizo mengine lakini mpigo uwe na uhai la sivyo utajuta hasa uwe na mke.
Mtaani kwangu kuna aibu zinaibuka kila uchwao hivi nyumba...
Life bwana kuna muda unawaza daaah..!! "hivi kwa mfano BABA Angekuaga MO DEWJ sahvi maisha mtelezo tuu!! " Wakati huohuo baba nae unakuta anawaza hivi mfano "MWANANGU angekuaga SAMATTA...
Wakuu poleni na mihangaiko ya hapa na pale.
Katika maisha kila mtu anakuwa anakuwa inspired na watu flani either kimtazamo au life style yao inasababisha mtu kuvutiwa nao. Mfano mzuri ni humu JF...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.