JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wadau hili ni kuwa michezo tuliyocheza zamani imepitwa na wakati au kama vile ukuti, kombolela, rede, kibaba na kimama, magari ya udongo, kuendesha matairi au kufunga kamba na kuendesha kama basi...
6 Reactions
127 Replies
11K Views
Muda wowote naolewa nikipata mchumba mwenye ela..sipend vibamia wenye navyo mkae kando ---------------- UPDATE ____________ Majuzi kati mie kichwaBOGA Mtoto mrembo toka familia ya kitajiri...
6 Reactions
101 Replies
6K Views
[emoji23][emoji23]
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii inapatikana kwenye matokeo ya CAF champions league 2019 na bado code namba ni hiyo hiyo 255
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau naomba ushauri leo nimeamka asubuhi nimepitia status za mzee baba nimekuta hii kuzaa si kupata imenichanganya. Sikumbuki kama wiki hii kuna jambo nimemkwaza, hapa natamani kumpigia simu...
19 Reactions
31 Replies
2K Views
Tahadhari mnaoendesha magari usiku wa leo mkiwa na furaha labda mmeonja gambe. Simba kashinda pia wana CCM wanaotoka Dodoma kuweni waangalifu barabarani gambe na furaha isije ikawa-impair maamuzi...
2 Reactions
1 Replies
625 Views
Being a man is not easy, broh no make up,no wig 😆😆 nothing If u are ugly you ugly broh, nothing can save you except money. Pongezi kwetu wanaume
5 Reactions
42 Replies
3K Views
Yaaani nikisikia tu anasema anakunywa au anatumia K- Vant basi mi akili yangu inaenda mbaaaaaaaaaali. Kuna mtu hapa kasema atanipa K- Vant kama ntampa jibu la swali lake...basi nmeanza...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau mimi napenda kufuga hapa kwangu nina Mbwa,Paka, Ng'ombe wa Maziwa na Kuku pia. Mbwa nmeona kazi yake maana kuna siku kibaka alijichanganya kuruka ukuta kabla sijaweka Fensi ya Umeme...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Jamani nmeamuzimisha jirani sabuni ya kipande jana usiku amenirudishia leo ikiwa ndogo kama line ya simu ya halotel alafu ina vinywele nywele duuh halafu anasema na kesho tena
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Billionea Laizer kaingia sabasaba akapokewa na KATIBU WA WIZARA. Kilichonishanga ni kwamba Watumishi wa wizara kuvaa mashuka ya kimasai. Unadhani wamevaa kwasababu yake NOOO KUBWA SANAA. Wamevaa...
3 Reactions
11 Replies
836 Views
Wapenda wana Jf wenye safari ya kuja TA karibuni sana tunawasubiria sana.
6 Reactions
156 Replies
7K Views
You finally made it to another new year in your life, a year of perfection. God will give you all-round victory in every sphere of your life, the Angels of the Lord will surround you to keep you...
13 Reactions
96 Replies
5K Views
Hi everyone Hii ni sehemu ya kuburudika, kujifunza, nk Bas Leo nimekaa zangu sina hili wala lile nikawa nakumbuka harakati za utotoni nilikumbuka mengi ila lilofanya nicheke nikiwa mwenyewe ni...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
TIRIRIKA hapo chini kwa Mambo na majambo ya watanzania na vituko vyao. Mimi naanza hiviiiiii "Ambako watu hununua bundle ili wapost Kama hawako vizuri kiafya badala ya kununua dawa".
2 Reactions
5 Replies
473 Views
monde arabe comments zako zimepotea siku kadhaa hivi kulikoni upo salama!? Au upo Dodoma? monde arabe kila mada kila jukwaa liwe dini,siasa,mahusiano,michezo atakapopita comments zake ni "Unique"...
1 Reactions
3 Replies
376 Views
Niko hapa JK Hall, nashuhudia kila mtu akishika mkono aliye wake na kuondoka naye. Leo guest house zitawaka moto! Kuna jamaa mmoja toka Katavi kaniwahi kwa mjumbe mmoja toka Mbeya. Nilikuwa...
7 Reactions
53 Replies
6K Views
I'm single man...[emoji1]
0 Reactions
13 Replies
756 Views
Leo nataka ujue namna ya kujua mwanamke ambae anadanga. Yani ile umemfia ile mbaya unajitahidi kuhudumia lakini sasa hujui kama anadanga. Sifa yao kuu ni moja tu: UONGO. Sikiliza sana ulimi wao...
8 Reactions
39 Replies
5K Views
Wakuu niko mbioni kwenda Dodoma nilikua naomba msaada wa kufahamu lodge Bora na nzuri isiyozidi gharama ya 40000 maeneo haya ✓Karibu na Bunge ✓One way Lodge tulivu Kwa ajili ya kupumzika vizuri
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom