Wakuu habari zenu
Hii kitu uwa inasababishwa na kitu gani Kuna jamaa mmoja kipindi tupo advance Kuna paper moja ya chemistry ilikua ngumu kinoma. :D:D:D:D
Kwa walewaliopita level hiyo...
1. Ata uone kitu kimekaa poa niaje hutakiwi kusema," Awww, that's soo cute.Huo ni ushoga mtu wangu.
2. Haufai kusema aya maneno kuonyesha umeshtuka," Gosh, Akaah,
ama OMG'
3. Ukiomba kitu hufai...
Nilipokuwa mtoto au mdogo mwishoni mwa miaka ya tisini kaka yangu(binamu) alikuwa hapitwi na dadaz wakali kwa kipindi kile. Ikatokea alimpenda dada mmoja jirani mzuri sana (ila ni marehemu; Mungu...
Tulipitia mabadiliko katika pesa ya kikokotoo.
TRA akawa msiba wa samaki katika koo kwenye biashara zetu.
Speaker alivyotaharuki baadaya Zitto kuzuia mkopo wa elimu usije Tanzania.
Bunge letu...
Mfano kuna mdada hapa street jirani yetu lakini tukikutana huko town unamwona kwa ndinga tofauti kila weekend hadi inafika time watu wanasema anautumia mwili wake vyema kwa vigogo lakini kisomi...
Wakuu Habari! hapa nipo mbio mbio nataka nimeze dawa za tumbo nitulie tu.
Kwa machache tu niseme tu leo Nimepatikana nimelishwa na visivyolika na bila kutegemea kwamba ntakuja kuvila.
Inshu ipo...
Habari zenu ndugu zangu na poleni na majukumu, haya tena kwa mara nyingine tena kijana wenu hannibali mkata shombo nipo kuzungumza na Jamii.
Sasa bhana kama tunavojua kila siku watu tunapaswa...
Gharama zako za matumizi kwa siku zimekaaje katika kipindi hiki? Mfano chakula, usafiri, matumizi ya simu, vinywaji na kadhalika. Tuchangie mada hii wana jf..
Nimehudhuria misiba kibao ila msiba ukutane na wamama wa Mbeya. Aisee! Unaweza hata kulia na wewe, wanajua sana kuangusha kilio. Utakuta mama ametoka alikotoka anafika karibu na palipo msiba...
Binafsi mm imewahi nitokea kama mara 3 hivi.
1. Mara ya kwanza ni kipindi niko chuo, nimeweka apointment na manzi ameniambia anakuja sa 12, hivyo nichukue chumba, nikaenda lodge fulani hivi...
Yaani tukiwa kitaa marafiki zangu wenyewe ni kunicheka eti we ushakua tafuta girlfriend tena kibaya zaidi wanatumia neno "demu" mwishowe utakuwa lofa.
Sa nikajiuliza kwani mapenzi ni kitu...
-Bei ya chakula kwa mamantilie inaanzia 2000.
-Ukienda kwa mafundi simu hasa Kariakoo, bei zao huanzia elfu 30 kwa smartphone.
-Boda boda huanzia elfu 2, wao huita ni town ride.
-Madalali...
MKALIMANI NA MUINGEREZA
Muingereza:My name is LivingStone
Mkalimani:Jina langu ni Jiwe Linaloishi.
Muingereza:I was born in New York:
Mkalimani:Nilizaliwa katika Kiini Kipya cha Yai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.