Ni mjadala mdogo tu kwamba kila mtu huwa ana ulevi wake sasa hebu tuambiane kati ya walevi wa Pombe ( wazee wa tungi) na walevi wa sex ( wazee wa migegedano) wepi ni wengi zaidi duniani au ndio...
jaman habar zenu hili swala limekuwa likinitatiza sana huwa naotea tuu mara nkute bado hayajaiva mara nikute yamesagika tayari kwahyo nmeshindwa kujua kabisa muda mwafaka wa kuiva
naombemi mnipe...
Hello fellow JF members. I dropped out of School Its Not A Joke.
Its almost a year now since I dropped out of school on the Early Days of My Secondary Education i.e Form 3. Its the most crucial...
Tupo kwenye basi na jamaa angu tumetulia tunatoka shule jirana kupiga michezo, makelele kama yote ya wanafunzi maana tulishinda.
Anakuja binti anamwambia mshikaji hakika leo umenfurahisha sana...
Jamani bado sijui ikiwa Upupu ni haramu au la! Maana kuna mitaa kuna wapiga roba maarufu, sasa tusio na vibali vya kumiliki silaha tunaruhusiwa kuumiliki kama njia moja wapo ya kujihami kwa...
happy birthday mayassa wangu.....May God gives you 100 years to live a happier life...i will always love you Mayassa wangu.....wakuache uishi miaka 600
Mkulima amejiwa na mwaandishi wa magazeti kumuhoji ... kuhusu maisha ya shambani,na mkulima huyu hawapendi
waandishi wa habari akaona bora amchoshe katika kujibu maswali,
na mambo yakawa hivi...
Hiyo ni moja kati ya interview nayopenda kuirudiarudia,inamuhusu muandishi anaefahamika kwa majina Robert kiyosaki alieandika kitabu cha "poor Dad,rich Dad" na vitabu kadhaa kama fake n.k
Kupitia...
Habari ya mchana watu wangu wa nguvu kabisa😊😊mnaendeleaje na afya zenu jamani..mmeshapata lunch 🥙 jamni...maana ndo muda wenyewe huu😊😊
Siku zilizopita tulizungumzia vitu ambacho hatuvipendi...
Hodi humu!
Kuna jamaa walikuwa watatu wakaingia hotelini kupata msosi, kama kawaida yao wanajua plate moja ya msosi ni sh 10, kwavile wako watatu wakaona sio poa wote kwenda kaunta kuweka kiwingu...
Nikajivika ukongoman mzee si alikuwa anapenda nyimbo zakikongo,siku moja wapo wageni nikaimba haka kakipengele kwenye huu wimbo.. Sasa inavyosound ndugu acheni tu! Tusichanganye lugha za watu...
Ina maana JF mmesha zeeka wote mko above 30 tu. Hakuna wale newcomers na wale wanao range ages hizo Kama mpo tukutane hapa basi!
Wakati mwingine kuongea na ages mate wako inapendeza sana kulikoni...
Wanajopo , poleni na pilika mbalimbali za kutafuta na kujenga chumi za familia na taifa.
Naomba niwaletee uzi wa kuambiana baadhi ya mambo ambayo huwa tunayafanya tena kwa kuyang'ang'ania hata...
Hello JF members!I have been going across a number of comments in various threads Concerning different
topics.
A lot of people have been claiming that JF has lost its potentiality.That its no...
Habari wana Jf,
Mwenye kuijua siri iliyopo baina ya pombe na Kiingereza aje hapa kutueleza maana haiwezekani kila mlevi anajua Kiingereza yaani hadi darasa la 7 akishalewa tu anatema ung'eng'e.
May you always see the beauty in this world and be encouraged to keep on pressing on regardless of the stumbling block and hurdles that stand in your way...
HAPPY BIRTHDAY LOVE
Kingsmann Kingsmann