Nimetengwa na niliyempenda niliyemthamini niliyedhani atakuwa wangu wa ndoa niliyempatia kila alichoitaji nilijisikia furaha yeye akifurahi pale anaponambia ahsante.
Leo alichonifanyia...
Habari,
Ni aina gani ya michango ambayo unaipa like humu Jamiiforums?
1. Mchango wenye jibu sahihi.
2. Mchango wenye wazo kama lako.
3. Mchango wowote wa mtu uliyezoeana naye?
4. Michango wowote...
Kufuatia press release ya polisi kuwataka CHADEMA kuwa na kibali cha kumpokea mgeni wao, wananchi wameamka na kuanza kuitekeleza amri hiyo
Hii hapa chini ni nakala ya barua ya mwananchi fulani...
Wana Jf, katika matukio hatari na ya kutia hasira, tangia tupate uchumi was kati, tumepata vipigo vya mbwa mwizi viwili chakwanza cha Shilole cha pili cha yanga.
Kipigo cha yanga ndicho...
Kwa mtazamo wangu hizi ndio picha za kishamba:
1. Kupiga picha umeshika soda
2. Kupiga picha ndani ya gari, malango wazi, umeshikilia sterling, na unamuangalia mpiga picha.
3. Kupiga picha...
Nafwatilia yanayoendelea uchaguzini nikawakumbuka sanaa hawa mama zetu wadogo wanaolinda ndoa za baba zetu aka. michepukoo aka vichenchede
Hakikaa jamaa wangekuwa na rohoo za wajumbe wanakuchekea...
Habari za asubuhi,
Ni kitambo sijafanya mambo humu jukwaani, mwenzenu nilikula block na nimejifunza 😎😎😎. Kuna ubadilifu mkubwa sana unafanywa na wauza machungwa, either kwa makusudi au kutokana...
Wote tumeshuhudia katika mchakato huu wa kura za maoni wajumbe wakifanya Yao
Wamekula vichwa mwendo wa spana tu
Itoshe kusema wajumbe ni wajuba walio changamka
Wadau,
Leo nataka kwenda kuogelea lakini bado nafikiria niende beach gani, leo ni weekend na shule zimefungwa hivyo beach kama Jangwani Sea Breeze na Kundunchi zinakuwa na watoto wengi na...
Ogopa kicheko cha MJUMBE
Mjumbe hana udugu
Mjumbe ana ajira ya mara mojaa kilaa baada ya miaka mitano ila madhara yakee balaaa, uliza Kigamboni
MTAFUTE Steven Nyerereee ama Mpoki wakwambiee...
Wakuu,
Nimekamilisha hatua zote za kufunga ndoa na mke wangu mtarajiwa na tarehe imeshapangwa ni suala la mda tu.
Katika mwingiliano wa maisha nimempata binti wa kipogoro (Mpogoro).
Nasaha...
Wakuu,
Hapa unatakiwa uandike sentensi yoyote ukianza na neno “Wajumbe”. Mfano: Wajumbe hawakumwelewa Mwijaku au Wajumbe wamempotezea Masterjay Rasta zake na wa mwisho ndio mshindi.
Tusiandike...
Najua unatembelea kwenye hili jukwaa na kukutana huu uzi wangu.
Nijibu japo kidogo basi
Nimemis busu lako. Nimemis ulivyo kuwa unaninyonya mate.
Huku niliko sisahau ile siku tulipo fungulia wimbo...
Habari za wakati huu wadau?
Kwa wale wanaomwamini katika dini haijalishi ya kikristo au kiislamu huwa kuna dhana fulani hivi ambayo hufanya watu waogope kutenda dhambi. Wengi wanaamini kwenye...
Hapo awali CCM ilikuwa na Kura za maoni kwa ngazi ya ubunge ambapo wajumbe walionesha nguvu yao kwa chama dhidi ya wagombea wa nafasi za ubunge.
Hivi punde wajumbe kwa ngazi ya kata nao...
Huu wimbo kuna watu wengi sana waliingia chaka na hadi leo bado kuna watu wanaingia chaka 😀😀😀
Baishoo I love you bebi🎶 ❌
(I swore I love you baby)✅
The baby to the sani❌
(You gave that to the...