Kila mtu ataje KIWANJA Cha BURUDANI kinachohiti eneo ulipo. MBINGA ruvuma ni PLUS de Lounge, ipo stend kuu ya mabasi, huko kwenu ni kiwanja gani kipo hot, ili tukifika tusiumize vichwa
Kuna aina mbili za wanadamu, wanaochepuka na wasiochepuka. Sio lengo la andiko hili kuelezea kwanini wanachepuka. Humu nimeelezea tu mbinu za kuendesha maisha ya kuchepuka kwa tahadhari.
Kitabu...
Katika maisha yangu haya sitasahau umbali mrefu zaid niliowahi kutembea nilitoka dodoma mjini mpaka iringa zaidi ya km 240.pia nimewahi kutoka singida mpaka babati.pia nishatembea kutoka igunga...
Duuh nilitaka nisahau [emoji3]
Napitia profile yangu naona tarehe ya leo inafanana na siku niliyojiunga JF
Nilikuwa Niko mtaani enzi hizo ramani haisomeki [emoji3]
Nimepata mengi sana hapa...
Wadau mwenzenu yamenikuta.
Ni mwanaume, nimeingia kwenye uhusiano wa kimapenzi mrembo mmoja. Niliwahi kuambiwa kuwa mrembo huyu ni msagaji sikuamini. Tulipokutana mara ya kwanza alinipa mahaba...
Opportunity Cost ya kufanya umalaya ni hii hapa.......
Unakumbuka nilipost thread ya kuelezea kwanini utumie pesa mingii sababu ya just one night eti kisa mbunye..!!!
Sasa instead ya KUHONGA...
Natumai mko poa na mnaendelea vyema kuchapa kazi katika kipindi hiki kigumu kwa sasa duniani. Kila mtu kwa imani yake na aendelee kuomba Mungu atuvushe salama.
Iko hivi, leo katika kupitia pitia...
Mwaka ndo huo umeisha, zifuatazo ni thread bomba, mwana jf bora kutuka kila jukwaa.
First of all. Tuwakumbuke wana Jf wenzetu tuliowapoteza mwaka huu Dena Amsi & ibra87.
Threads bomba za mwaka...
Hello JF!
Heshima kwenu na kwangu, uwepo wetu humu ndio unafanya jamii forum iendelee kuwepo. Japo niiliifahamu JF mapema mwaka 2012, lakini tarehe kama ya leo mwaka 2015 ndio rasmi nilijoin kama...
Wenyeji wa Dodoma leo nakuja huko kwenu, naomba mnipe A B C za huko, Kama vile nifikie wapi, nikashangae wapi maana si ndo makao makuu ya Tanzania lazima kutakuwa na vitu vya tofauti.
Ahsante...
Its so amazing kwamba mnakaa sehemu moja lakini kutokana na utambulisho bandia mnakuwa hamfahamiani kabisa... Halafu kinatokea kitu kidogo sana lakini chenye uzito wake.. Kisha mnafahamiana.
Mimi...
We are Tanzanians[emoji173]
-We call every toothpaste COLGATE
We don't care[emoji23]
-We call every noodle SPAGHETTI
We are like that[emoji23]
-We call every insecticide DOOM
We cant help...
Kabla mwaka haujaisha, ningependa kila mtu aseme mtu ambaye amekuwa bora kwake katika uchangiaji, kuchekesha pamoja na pumba.
Ukiachana na Kiduku Lilo, naanza na huyu jamaa amepotea sana mzee wa...