huu ni uzi maalum wa kupasha/kujuzana habari mbalimbali,au kutuambia chochote ambacho we unahis kuna baadhi ya wanajamvi hawajui
mfano: 1je wajua..demu wa mkoani ukimwambia aje dar atakuambia...
- Pombe imekatazwa
- Kitimoto imekatazwa
- Uzinzi umekatazwa
- Kuruka ukuta kumekatazwa (tena kwa Amri na hukumu kabisa nanukuu: "Wazinzi na Wafiraji wote hawatauona ufalme wa mbingu")
Hivyo ni...
Hebu tuongee ""in minimalist ways......""
Unakutana na mtoto mzuri ana D tatu, Toto jeupeee, miguu ya bia Kifupi TOTO LIMEUMBIKA.
Kichwa cha chini kinakuongoza na unaona uombe namba.
Siku...
Nafanya kazi, laki tisa KITU NI mshahara wangu wa mwezi unasoma kwenye "salary slip" lakini kiasi nachoingiziwa benki ni laki nne na USHEE tu. Hii inatokana na makato kibao, nakatwa bima ya afya...
Kila nikitaka kuacha bia nawafikilia Wananchi wenzangu ninaowapenda na ambao wanategemea mnyororo wa bia ili waishi.
1. Wakulima wa uwele na shairi ambayo ni malighafi ya kutengenezea bia.
2...
Niko bed nimechill baada kula puff kazaa za joint OG.
Stimu zinakuja sijajua nin kimenifanya nitake kukumbuka mtu wa kwanza kumpenda na mtu mtu wa kwanza kumtamkia neno i love make naamini kuna...
Leo imekuwa siku mbaya kwangu, nimepanga geto uswahilini na tunashare choo/bafu(both in the same room) na wapangaji 7 wengine(most ni 1st & 2nd year wa chuo jirani hapa).
Asubuhi ya leo nimenda...
Juzi nilipelekwa Buza, Kwa mara ya pili maana Buza NI kubwa Sana
Nikaenda kuulizia maana ya mparange sijui Kwa mparange nikapata maana nilicheka sana
Sijui mambo ya kiswede mambo ya Ambaruti...
Wana JF jamani tuseme ukweli sisi tulio kwenye ndoa ni kama tuko paradiso ndogo; hakuna kuhangaikia tena kutafuta au kupigwa kalenda, yaani nikiingia tu ndani naambiwa "karibu baby, unakula kwanza...
Hello wakuu hii post ni mahususi kwa ajili ya kushare screenshot za matumizi yetu ya vifurushi vya internet kwa mwezi unaoisha (mwezi wa 6)
Labda kupitia hii post watu wa makampuni ya simu...
Habari zenu wana JF, ni id gani ya member wa humu jamvini unayo ikubali zaidi? Mi binafsi nakubali iyi:
#Mtoto halali na Hela
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah hamuwezi amini katika kipindi hiki cha kukaa ndani numejifikiria nanimegundua kwamba p,q,d,b, zote ni herufi moja sema matumizi na mikao ndo inafanya zionekane tofauti. Tupia fikra...
Ni siku chache tu zilizopita nliandika katika uzi mmoja Siku ya kumtembelea Deo Kisandu Jamaa yetu JF
Kumkumbuka Huyu Mwamba katika Medani za Siasa hapa Tanzania. Aliyejikusanyia wafuasi wengi...
Ni kwa mapenzi mema kabisa kwamba kwa jinsi kwangu wiki ilivyo njema tungetoka tuende walau hotel Yeyote tutakayoichagua ili niwape hata pole ya Saumu!!!
Lakini kwa mtazamo wa haraka haraka bado...
Hakuna MTU anaechagua kubaki YATIMA😢😢
Hakuna mzazi anaye chagua kufa😭😭 na kuwaachaa wanae wakipambana💪 wenyewe.
M/Mungu awape hitaji la nyoyo💖💕💝 zao MAYATIMA☝☝ wote wa dunia🌏🌍 nzima
Amiiiin 🙏🙏🙏
Hey inakuaje mandugu humu ndani!?I hope mko poa..
Bila kupoteza muda kama heading inavosema,je ni swali au maswali gani ya msingi uliyowahi kuulizwa na mtoto mdogo hadi ukashangaa uyu mtoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.