JamiiForums ni sehemu ambapo tunapata habari, tunaelimika, tunaburudika na hata stress wakati mwingine. Pamoja na faida zote na hasara hizo ila baadhi ya member wana vituko na kubadirika kama...
Habari za jioni wapendwa!?
Leo kuna kijana mmoja kaniambia kuwa ako na rafiki yake wa kike ambaye amezoea na yuko huru sana kushika simu yake (simu ya huyo kijana) na kijana yupo huru pia kufanya...
Kwa sisi tunaopenda kusafiri,tukifika huko tuendako huwa tunapenda kufahamu sehemu ambazo tutafurahia maisha tukiwa huko ugenini.Moja ya vitu tunavyopenda ni kwenda kwenye viwanja vyenye watoto...
"Moja kati ya Couple maarafu sana humu JF ni hii ya The Bold na Nifah.
Kwakweli kwa jinsi nilivyopitia baadhi ya post na comment za Nifah,huyu mtoto inaonekana anajua sana kudeka,mapenzi na...
Aseee ndugu zangu wanaJF mnaweza kudhani ni masikhara au ni matumizi mabaya ya simu yangu ila ukweli haipo hivyo...
Ukweli ni kwamba nimekuwa na deep feelings kwa huyu msanii anaitwa Zuchu kiasi...
Nawasalimu wakuu...
Nafurahi sana kuiona Jf ikikua na members kuongozeka sana!! Nimetumia muda mrefu kidogo kusoma kinachoandikwa hapa jukwaani kwa sasa nikifananisha na tulikotoka...
Naona sasa...
Binafsi ningeacha kubeti na kuwekeza kiasi cha pesa katika mambo ya msingi kama ujasiriamali[emoji24]
Pili ningebadilisha mfumo wangu wa uzingatiaji wa afya.
Wewe Je?
Kutokana na Mada zao na michango yao humu ndani yenye kuelimisha na ukomavu wa fikra, Nawakubali sana.
Pascal Mayalla, Nguruvi3, barafu, Humble African, Paula Paul, habibu Anga, @JBourne69, Mag3...
Wanugu hawataki kabisa kushughulisha akili zao hata kwenye mambo simple kabisa.
Celebrity mnugu kaweka caption yake ambayo inahusu masuala nyeti yanayo gusa maisha ya wanugu nchini Marekani. ...
Vijana wengi kuanza maisha hupata shida waanzaje. Tafuta elfu tano nunua mkeka huo huo utautumia Kama kiti Cha kukaaa wewe na wageni wako na hapo hapo ujautumia Kama kitanda kulala usiku.
Wanakamatiiii Jaman jaman Jf kumbe nzito kiasi hiki poooh mmenishinda kwa kweli yani nimewashiba agagaaa!
Nasikia yule member maarufu ako na I'd yenye kutamka kwa uzito kama jiwe la kg 125 .
Na...
Kuna. Member wanakuja jf wakiwa ni wageni na wanakuwa na hamu ya kupost kwenye kila thread na bahati mbaya anajikuta kero kwa watu wengi
Mfano jumanne ya wikii hii jf ilipokea member anayeitwa...
Tangazo kwa Wanachuo waliokula Ada. Tunanunua simu za wanazouza ili wajazie katika Ada na nauli zao za kurudi chuo.
Mwanachuo weka tangazo lako usione aibu.... Kitaa pagumu na ndiyo may be...
Imekua nikawaida kwa wanaume humu kujisifu atumia mtaro tena nakujisifu kabisa sidhani kama niungwana
Taarifa nyeti kama hizi unazianika hadharani yanini janaume zima na suruali yako ndefu kama...
Wakuu hizi dawa sio mchezo, acheni tu ngono zembe usifanye kwa makusudi. Halafu utegemee umeze hizo dawa ni balaa, zinapelekesha vibaya mno, mateso yake ni kama unataka kukata roho. Zinatesa mno...
Habari za jumapili wana jf wote yamkini wote tumeamka salama.
Nyumba za kupanga zina karaha yake na sio muda wote tunazichukia, na
Kuna muda tunazipenda pia je? Ni kipindi gani ulitokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.