JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hatari sana huu mzigo enzi za primary school ndo unatrend yanachukua sehem ya simu mfukoni mnakuta mwana anatembea full loaded Ebu wale wakongwe tukuje kukumbushana kidogo Wakishua someni comments
2 Reactions
49 Replies
3K Views
Sisi watanzania kunatabia atuwezi kuziacha kabisa . kama [emoji117] kugeuza Tauro kuwa Dekio , kuweka Fagio nyuma ya mlango [emoji23][emoji23] . Ongeza na Zako apo chini [emoji116][emoji2][emoji2]
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Mliambiwa nini na na hao wapenzi wenu hadi mkakubali na kwenda nyama kwa nyama.. Ulishawishi vipi hadi akakubali? Na wewe uliyekubali hadi ukaamua ku take risk..ulipigwa sound gani!?. Hii ni...
1 Reactions
114 Replies
9K Views
1.RUTASHUBANYUMA 2.NUMBISA 3.MSHANAR JR
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Nilidhani Fimbo zangu za Kiserikali / Za Wastani ambazo ni Nne ( 4 ) pekee zingekuwa ni sehemu ya Kumbadilisha Mtoto ila nimegundua ya kwamba hizo ' Bakora ' za Kiserikali hazisaidii kabisa '...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Hapa niseme kitu kimoja hivi humu JF kustaafu mwisho miaka mingapi? Na kama umeshanza kutizama key board kwa mashaka staafu tu kwa hiari yako, bahati nzuri humu JF mnaruhusiwa kurithisha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani nawapenda saana, yaani nikiwaga nimechoka akili ikihitaj kuburudika napitia JamiiForums kuna kila kitu Hiyo nawapenda saana.
19 Reactions
37 Replies
2K Views
Hapa naweka baadhi, na wewe ni rukhsa kuchangia Nisaidieni jamani kutatua hili. Hata nguo yake ya ndani pia nisiijue [emoji24][emoji24][emoji24] Yaani mapenzi ukiyaendekeza unaweza ukakonda...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Weekend hii utakuwa na nani? Usikubali ipite kama ilivyopita ile nyingine na zile zingine. Siku ikishapita imepita, haijirudii...mfano leo Ijumaa tarehe 5, mwezi wa 6 mwaka 2020 haitajirudia...
1 Reactions
100 Replies
4K Views
Wadau kuna jambo mimi linanishangaza pale tunapoenda kupiga picha pale darajani Manzese tunaonekana washamba na watu kutucheka mbona mkienda nje mnapiga picha kama hizi
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Umuofia kwenu! Niwarejeshe kwenye mada, inaeleweka bila mbwembwe, labda kama ni mimi tu. Ni pale tukifungua soda kuondoa kizibo, wengi wetu hufanya kupitisha kiganja au kidole ili kufuta...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Nilikuwa najua ni mke wangu tu ila leo katika kupiga piga stori na wadau mbalimbali nao wanasema hivyo hivyo. Wengine wanasema wake zao hununa na wengine wanasema wanamchukia yule Dada. Swali...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Mwanaume inabidi awe na ndevu zile zilizo panda hadi huku mashavuni halafu ziwe fupi sio zile zinazokua kwa kidevu tu. Mwanaume hata ukimkiss zile ndevu zikiwa zinachoma choma zinaleta raha fulani...
2 Reactions
45 Replies
7K Views
Wapendwa leo kuna tukio la kuhuzunisha limenitokea. Nilikuwa nimesimama maeneo ya Morocco nikisubiri gari, ghafla nikamuona mama mtu mzima analia kwa sauti kubwa, mda huo huo nilikuwa nimeshika...
8 Reactions
5 Replies
911 Views
Umeishawahi kupotea mahali hadi ukaanza kuuliza Watu: "Uliniona Nikipita hapa?😁 Tupe mrejesho ilikuwa vipi?
4 Reactions
6 Replies
901 Views
Tumeachana na story imeisha . Mbona unantangaza kuwa nikiwa namwaga bao natetemeka kama trekta lisilo na mafuta??
7 Reactions
16 Replies
912 Views
Katika maisha yangu nimegundua me, ni bonge moja la perfectionist, tena selfish perfectionist siwezi kufurahia situation kama sina mchango katika hiyo situation, mfano nikifulia navunja mahusiano...
0 Reactions
59 Replies
3K Views
Yaani una toa bonge la uongo mbaka members waami kama ni kweli alafu una laugh au sio twende kazi
0 Reactions
27 Replies
1K Views
Wanaume wa Dar waliandamwa sana kwa mengi, sasa Dar imekuwa mkoani kama Simiyu, Njombe na Songwe kazi kwenu wanaume wa Dodoma.
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Nki report kutoka uganda, John ojambo ITV kampala...
1 Reactions
33 Replies
6K Views
Back
Top Bottom