Wakuu habari za mihangaiko?
Katika maisha yako ambayo Mungu amekupa mpaka sasa Kuna mipango na mtarajio mengi sana uliyategemea kuyatekeleza kabla ya kufika umri fulani. Lakini mipango si...
Tangu saa tatu najigeuza geuza hapa. Hamna hata dalili ya usingizi. Nashuhudia masaa yanakata tuu na kusikilizia kelele za mbwa wakibweka nje.
Unapokosa usingizi unatumia mbinu gani kujibembeleza...
Habarini mabaharia wenzangu.
Leo ni juma pili kama kahali chahewa cha Arusha kalivyo cha baridi Leo nimeamua kuwasha motoo sababu wengi hawaaminiki .
Hapo nimeanza simple sababu nibado mbichii na...
Wadau ebu nipeni mbinu za kuchatt na warembo wa jf...
Maana kila nikijaribu kutembelea pm zao sipati majibu, yaan sijawahi jibiwa pm hata moja!
Wakongwe nipeni maujanja, huwa mnatumia mbinu gani?
Nakumbuka fan langu la kwanza nilinunua sh. 600 Kariakoo na nikiwa na rafiki yangu tukakodi tax kutoka Kariakoo mpaka Temeke sh. 50 enzi hizo Uda sent 20 hebu kumbuka na wewe vijana mtuache kidogo.
Koment ya huyo sasa apo imeniacha hoi! Mtu unakaa unavuta taswira ya kuwaza vitu vingine tofauti, unajishauri ukaombe urafiki au yeye mwenyewe kwenye profile picture, huamini?
Asilimia kubwa wanapenda kusikilizwa music/Blues.
Mimi bila U-Flesh juice na karanga za miamia 2 silali, iyo ishakuwa kama starehe ninavyoperuzi JF nakula karanga moja nanyonya U-Flesh mpaka...
Nipo kwenye laughter therapy.
Wanasema " Laughter is the most best medicine "
It can prevent and/or cure a person from deadly and dangerous diseases.
Wataalamu wa mambo wanasema the r reason why...
Niliwahi kusoma kisa kimoja cha kijana aliyekamatwa kwa kosa la uzururaji. Alipofikishwa kituo cha polisi alitakiwa atoe cho chote ili aachiwe, yule kijana akagoma.
Kesho yake alipofikishwa...
Ebu Jifanye wewe ni mganga wa kienyeji nimekuja kwako Kuomba dawa inipatie Utajiri,
Nipe masharti yako tuone ni nani atakuwa mkali wa kutoa masharti magumu.
Wakuu hamujamboo?
Je kwa maisha haya ukiambiwa wewe mwanaume uweke kucha za ndefu za bandia na upake rangi kwenye hizo kucha je utakubali ? Ili uwe tajiri??
Yaani nilifikiria kula kwa kibanda umiza nikaona wacha ninunue yai 2 na nyanya za jero na unga nusu na robo nikaliamsha dona la maana na mboga ile ya yai mchanganyiko na nyanya aisee lilishuka...
Ni Mtoto wa Kike ( Binti ) tu ambaye anaishi katika Chumba Kimoja na Wazazi wake ila Kimetenganishwa tu amemshtaki Mama yake Mzazi kwa Mjumbe kwa Kumcharaza ( Kumchapa ) Viboko kila mara kwa Kosa...
Niligombana na mwanamke wa Kisomali aliniambia atani fix. Nilimdharau. Nilikaa miaka kumi kila job interview nikienda ninaangukia pua pamoja na vyeti vyangu.
Nilikutana na Ustaadhi alinisomea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.