Kila mtu katika makuzi yake kuna michezo ilikuwa ni ngumu kuacha ata baadhi imeweka alama katika miili yetu,
Mfano, mpira, karata, katagoli, rede, mdako n.k
Kombolela ni mchezo wakujificha alafu...
Habarini wakuu.
Hebu tukumbushane matukio ya zamani yaliyowahi kukutokea kipindi unasoma Shule ya Msingi au Sekondari.
Nakumbuka kipindi niko Primary, nilipata mapambano mengi sana ya ngumi. Na...
Salamu kwenu Wanyabe!
Leo nimekuja na hili suala, nimekuwa nikiliona na kusikia siku nyingi japo sikuwahi kulipa umuhimu.
Basi kijana wangu mwenye kawaida ya kuimba kiustadi kila aingiapo...
Mazingira yanaweza kutofautiana kidogo lakini muelekea mmoja. Ilikuwaje na ulichukua hatua gani? Jamaa yangu imemtokea kweli hii.
Anasema: Simu, Inaita, Kucheki namba mpya. Hallo!
Upande wa pili...
Binafsi huwa nazikumbuka sana
- Ngawira zangu nilizolipia gym wakati ningeweza kupiga zangu push ups home na jogging nikachoma calories kama kawaida, na
- Zile nilizolipa car wash kuosha...
Jamani kuna siku tumepeane appointment na mtoto mzuri demu wa ukweli aliejazia haswaaaa, ni demu alienizungisha muda mlefu sasa siku hiyo akaniambia tuonane tupeane maraha ya dunia , mida ya...
Mida ya jion nilikuwa nimekaa sehemu napata zangu gahawa,,Walipita wadada wawili ,
Mmoja mweupe mrefu hivi ana shape flan hivi, katika kijiwe kile wanaume wengi walionekana kumsifia saaaana yule...
Niaje wadau,
Mara nyingi maji yakishakolea tunakuwaga na story za kuvutia, fix nk...baadhi yake, jamaa kapiga liquid karudi Home anaanza kumtongoza mke wake[emoji1787] wife akamtia vitasaa...
Kila kona watoto wazuri na watamu
Leo jioni kwenye mida ya saa 12 na nusu, nikasema ngoja nitoke nitafute saluni yoyote angalau nipunguze nywele na ndevu ili nionekane mtanashati. Niliamua kwenda...
Mdada uliepandia gari Kimara Korogwe asubuhi wa Simply Fresh Supermarket tafadhali sana hebu njoo inbox tuyajenge.
Leo siku nzima kazini nimeshindwaa kufanya kazi kisa wewe.
Hasa namba ngeni ikiingia mf.075.....MAMBO VIPI.
Huwa unafikiria ni mtu wa aina gani kila meseji anaekutumia yeye anaadika herufi kubwa mwanzo mwisho sipendiiii....!!!
Kanali mstaafu wa jeshi la mashabiki wa soka duniani anasema mashabiki wote wa mpira wa miguu duniani wasiposhangilia pamoja na shabiki wa Liverpool FC kwa kushinda taji la ubingwa wa Ligi kuu...
Kila mtu ana namna maisha yanavyomfanya kwa sasa katika dunia hii. Just comment hapo chini jinsi yanavyo kushughulikia kwa kadri utavyoweza.
ME: Fair with a lot of ups and down but I'm holding.
Mzuka Wanajamvi,
Baada ya umbea wa COVID-19 kwenye kijiwe chetu. Nikachukua baiskeli yangu kuelekea ghetto.
Njiani kwa mbele kulikuwa na mwanamke nikampigia miluzi na sauti za busu ili anipishe...
Ukishakuwa na 20+ years unapaswa kuwa na salio la kupiga kokote pale hata iwe SafariCom, yaani excuse ya sina dakika za kukupigia ni utoto sana bhasi tu, watu wanajiendekeza.
Kwa wale wanaokufahamu kwa yule mtemi maarufu wa enzi hizo Milambo na mwenzie Isike,tukumbuke kidogo maeneo mbalimbali ya huko,iwe mitaa,vijiji,vitongoji nk kama:
Isevya
Kanyenye
Ngoma Sakasi...
Wakuu japo elimu zingine sio rasmi bt zimekuwa na manufaa zinapotumika, hii elimu ya kumjua mwenza sahihi nimeikuta pahala nikajaribu ikaleta uhalisia then nikaamua kushare nanyi.
chukua idadi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.