Leo ni mara ya nne nakisiliza kipindi hiki kinachoongozwa na Liliana Mwasha na Masanja Mkandamizaji. Nimeikubali sana Chemistry yao na namna wanavyoendesha kipindi chao.Hakika ni mapinduzi makubwa...
Wakuu habari! Mimi ni mtu wa dini sana na ninaamini katika MUNGU,
Nipo maeneo ya ukanda wa pwani ninafanya kazi.
Kuna mambo yananitokea usiku nikiwa nimelala yanaendana na imani za kishirikina...
Kufuatia Waafrika na Wazungu Kuzaliana na kupata watoto mchanganyiko basi upo uwezekano kufikia mwaka 2400 wasiwepo Waafrika na wazungu Bali kizazi mchanganyiko kufuatia baba kuwa mzungu na mama...
Hakuna ambae utotoni hajapitia hii kadhia ya kukojoa kitandani,na sio utotoni tuu hata mpaka sasa kuna wakubwa wanaokojoa kitandani sio wanaume sio wanawake.
Sasa elezea hii hali mpaka unajikuta...
Wana jukwaa, baada ya kukua nimejifunza:
Mama ni mtu aliyekaa na uhai ndani yake, akauleta duniani na kuutetea
Mama ni mtu aliyetoa uhai wake, damu, akili na jasho kwaajili ya mtoto ama watoto...
Hilo jina lilipewa kwa heshima kabisa kwa faru aliekuwa na miaka mingi hapa nchini. Nadhani moja ya sifa kuu ni kukomaa kwenye shida na raha huku wenzake wakifa.
Naona jina hili limehamia kwa...
Moja kwa moja kwenye mada.
Sina nia ya kudate, lakini naona kumbe wanawake wengine wanawatia aibu wenzao.
Nikiwa napiga kinywaji, danga moja jirani linalazimisha maongezi, nikijilazimisha kuwaza...
Toka enzi na enzi utaratibu ndio umekua huu.
Misiba mingi inajaza watu kwa sababu ya chakula kilichopikwa. Usiombe mtaani kuwe na misiba miwili msiba wa tajiri na msiba wa masikini.
Msiba wa...
Anamaanisha lori lenye double trailers (kama unavyoona hapo pichani. Kwa lugha ya kizungu neno hilo TANDAMU ambalo watanzania wengi hasa kwenye sekta ya usafirishaji hupenda kulitumia linatokana...
Wakuu kama wakuu,
Aloo nakumbuka enzi hizo umetoka wimbo wa Prof.Jay ft. Juma Nature unaoitwa zali la mentali.
Wahuni kibao mtaani wakaanza kufanya kazi ya kusukuma mikokoteni ili nao wapate...
Kichaa mmoja wa kiume alikatiza porini akiwa uchi kama alivyozaliwa wanyama wote wakatoka spidi kumkimbia.
Fisi akamuuliza simba, imekuwaje hadi wewe mfalme wetu umekimbia?
Simba akamjibu weee...
Wakuu habari zenu!
Mkuje wanaume wote humu tuelezane ni jinsi gani? Yule dada ile ongea yake na kujumlisha deko lile kwa yule bwana mimi kwangu huku hoi.
Ukipata mtoto sampuli ile kwanini...
Iwe kwa ugomvi au maelewano natangaza ugomvi na aspirin nataka kumuoa miss sky eklaty sitaki maelezo yoyote kutoka kwako. Niko Somalia, mwezi ujao narudi nataka tufunge ndoa. Kwangu ni Vigwaza...
Kwa wakazi wa Tanga kuna mganga mmoja na sikia ni mtaalam hatarii anaitwa Sekambi. Kwa yeyote anayemfahamu anipe taarifa zake na kama na mawasiliano yanaweza kupatikana anisaidie basi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.