Habari wanaJf,
Poleni na harakati za kutafuta riziki. Hongereni pia maana nyinyi ni wapambanaji na ipo siku mtashinda.
Kama kichwa kinavyojieleza pale juu. Ebu kiangalie tena kinasemaje. Haha...
Watanzania tunatisha sana katika suala la kuwa na vyeo bila ya kuwa na kazi popote pale.
Unaweza pita njiani ukasikia vyeo kama kamanda, boss, kiongozi, mtaalamu, fundi, brigedia, jenerali...
Fuso imegongana na bajaji.
Mama mmoja agonganishwa na bint yake wa kazi.
Mama awaka na awa mkali.
Mzee wa kasumba awa mpole.
Afikiria kuwatema wote.
Aibu yatawala wajihi wake.
MWISHO WA UZI
Wadada hasa Tanzania licha ya kusema Nchi ya kijamaa wanawake 95% ni wa baguzi sana kuna wanaume hawawachuni wala kuwapiga mizinga lakini wengine ambao weupe (handsome) tunachunwa mpaka basi...
Habari za leo wadau poleni na mihangaiko kwa wale wanaongaika.mimi kwa muda mrefu nawaza hivi nani aligundua hii kunywa chai na chapati 2 au itakuwa hao hao kina Carl Peters toka Ulaya.
Habari zenu wakuu,
Leo nimetimiza miaka sita tangu nimejiunga na huu mtandao wetu pendwa (yaani nilijiunga nikiwa kijana mpaka nimekuwa mzee hahaa). Nampongeza sana mwanzilishi wa JamiiForums kwa...
Tusaidiane kuwataja watu ambao hawawezi kwenda mbinguni na sababu kwanini hawataenda mbinguni😀😀.
Mtaje hata kama huyo mtu yupo mtaani kwenu,kazini,kiongozi wako..nk
Mimi naanza na
1-uncle...
Kweli kuna watu hisia zao ziko karibu, jana nipo chumbani na shemeji yenu alikua anaangalia tamthilia ya kifilipino, baada ya mda sijui nini kilitokea nashangaa analia sana mpaka kawa mwekundu...
Wakuu poleni na korona, sina mengi nataka tupeane mastory kwa wale tulowahi kutumia mmea, ndumu,kuku moshi,ganja na majina kibao siwezi kuyamaliza ili tupoteze haya mawazo ya korona.
Mimi naanza...
Mzuka
Huyu mwamba kapotea sana kabla hata ya Corona. Yuko wapi?
Mioyo yetu wiki hii imetulia baada ya BAK kurudi jamvini.
Kuna pia Kisu Cha Ngariba long time sana haonekani akina Beira Boy...
Wakuu Heshima Kwenu!
Hii ofa naomba Iendelee, yanii hapa ndipo pa kuonekana Mchawi Wa Kuombea ***** Uko Uarabuni Isikate Ili Mambo Yawe Hivii[emoji23][emoji23][emoji23]
Kesho Naweza Hata...
MODS : Huu uzi msijemkauhamisha unafiti hapa.
NOTE hapa hatutangazi biashara, kama unatangazo lako unataka uuze kiatu/viatu fungua uzi.
Kiatu ni sehemu muhimu sana katika uvaaji,
Ni sehemu...
Alinipigia simu na kuniulizia habari za JF, tukafahamiana. Alidai anaishi Mbagala Dar akanipa namba ya simu na ya kwangu alikuwa nayo.
Baada ya hapo sikumpigia na yeye hakuwahi kupiga tena, hadi...
Uzi huu ni maalum kwa ajili ya kuulizana mambo ambayo kama yangetokea unahisi ni nini kingetokea.
Weka hapa hilo jambo wajuzi watakujibu wanavyo hisi wao na wakishindwa basi iwe changamoto kwa...
Habari
Katika movie theme song nazozipendaga ni hizi
1. Jurrasic park theme song hii kwangu ni the best napenda kile kinanda sana
2. Robocopy (1994) hiyo nayo ni nzuri naipenda
3. Behind...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.