Mimi nilikuwa tu nazisikia hata kuziona nilikuwa sijawahi kuziona. Nilikuwa naamini zitakuwa zinauzwa gharama kubwa sana kwa hiyo sikuwahi hata kuwa na muda wa kuzifuatilia. Hebu na wewe kuwa...
Ukubwa wa pua si wingi wa kamasi
Akili yako ijiongeza ukubwa wa mtu
Usikufanye ww uingie mkenge ati kasema
Boss kaa na utafakari alichokisema kama
Kina mashiko
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari Tanzania!
Kwa wale wataalamu na wabobezi wa vileo, naomba kuuliza eti inawezekana kuzalisha bia ya unga na sio kimiminika kama zilivvyo nyingine?
Mfano mtu unaifunga kwa kiwango tofauti...
Habari,
Najua mtasema huku hawapo ila naamini wenzangu na mimi wapo maana kwenye msafara wa kenge na mamba wamo.
Startimes wameturahisishia sana tusiojua kizungu, kwa sasa sisi tunaangalia
A...
Hello friends, you are most welcome on 23/09/2018,
I would like to welcome these friends to meet me
1.@Gudumee
2. @Prondo
3. venchwa
4. BAK
5. Trabbit
6. GENTAMYCINE
7. Lizaboni
8. The...
Habarini za asubuhi wakuu.
Ni desturi iliyopo kwa baadhi ya makabila na hata wazazi kuwapa wanao majina ya asili ,naweza kuita majina ya kiukoo..
Wale wote wenye majina ya asili naomba mtupe...
Niliingia uwanjani mapema sana. Mbali na kufuata burudani ya soka. Kushangilia timu ya taifa langu. Pia miongoni mwa vitu vitu vinavyonipeleka uwanjani ni totozi bana. Sijui bwege gani huyo...
Wakuu shikamoon?
Nimepanga nyumba ambayo tunaishi pamoja na mother house ,huyu maza ni mtu mzima tu around 60+,anaishi na mabinti zake ambao ni warembo kama yeye, huyu maza tunaheshimiana sana...
Leo nimekuwa na furaha baada ya kukutana na rafiki yangu wa shule , A level . Yeye alinitangulia darasa moja,alinipokea shule tukawa marafiki sana.
Alinitangulia pia kufika mjini , chuo UDSM...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
John was a very dull boy. His peers called him "Father of fools"
When he...
Muda si mrefu tu nimetoka Kupanda Gari ya Mwendo Kasi na Mzungu Mmoja hivi na wakati Safari ikiwa inaendelea huku muda wote akiwa anajisomea Kitabu chake ( Novel ) katika hali yake ya Utulivu na...
Ilikuwa 2012, nilichukua package holiday ya siku tano ilijumlisha hoteli ya nyota tatu, nauli ya ndege na usafiri wa ndani kwa £1,200. Hii ilikuwa inajumlisha chai asubuhi na chakula cha usiku...
Hii ndiyo raha ya kuwa mwanachama wa jamii forum, wote ni ndugu hakuna cha wapwa wala wakulingwa tunainuka kama jamii moja.
Jamii forum inabaki kuwa uwanja mpana wa jamii wenye kutoa hoja kuntu...
Mwenye tafsiri ya misemo hii atupe tafadhali.
1. Hasira za uume haziwezi kuvunja uke (Zimbabwe)
2. Hakuna bikira kwenye chumba cha wazazi(Cameroun)
3. Mtoto huchezea matiti kwa mama yake na sio...
Poleni wananzengo,
Si vibaya kukumbuka nyakati zilizopita pindi tukiwa watoto wadogo ukiachana na maswali ya kidadisi kama vile "Eti mama mimi nimetoka wapi?"
Je ulishawahi kuwaza nini kipindi...
Hi guys
JamiiForums tunatumia ID ambazo si za kweli lakini pamoja na hayo kuna vitu maishani hauwezi vibadilisha wala kuviigiza na mfano wa kitu kimoja wapo ni ndoto huwezi igiza umemuota...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.