1. Chai na chapati mbili; yaani ukiwa mgahawani ukiagiza chai na chapati moja au zaidi ya mbili watu lazima wageuke kukuangalia, ni kama wamesikia wewe una ugonjwa wa corona bile.
2...
Nilichojifunza Jasiri huzaliwa kwa lengo maalum!
Hafi hadi kusudio la Mungu litimie!
Hupitia msukosuko Mingi kuliokoa Taifa!
Nguvu ya Mtukufu Ipo kwenye VIKARAGOSI
Kwanini ukinywa maji hulewi, bali ukinywa beers, spirits,wine,cider n.k unalewa?
Kama wewe ni mtumiaji/mnywaji wa kileo toa sababu zako kwanini unalewa?
Siku zinakimbia kwa kasi sana wakuu, leo nimeamka natoka kwangu ile kufungua geti nakutana na mwalimu wangu mjeda wa Makongo yeye ameshanisahau kabisa ananunua kiwanja kinachopakana na Mimi, baada...
Hawa jamaa wa forever, Qnet, Global Alliance na jamii hizo hasa hasa wale newbie. Financial education wao ndio wameimaster, kuona wengine hawajielewi ndio wao, health experts pia wao, top class...
The best present I have given myself is giving up alcohol, eating more fruits and vegetables with drinking plenty of water.
Since quitting a bottle of wine and a glass of cold beer on a hot sunny...
Usiiangalie "JANA"kwa "HASIRA" kisa maisha yalikuwa magum usiingalie "KESHO" kwa "UOGA"kisa ujui utakula nin bali itazame "LEO" kwa "HESHIMA" na "BUSARA" huku ukijipanga "KUSONGA" "MBELE" kwa...
Je? Una tukio ambalo umewahi kukutana nalo katika maisha yako tangu uzaliwe hadi ulipo, na ambalo kwa namna lilivyotokea hutokaa ukalisisahau kabisa? Kama jibu ni NDIYO, Tuhabarishane hapa...
Wapendwa muhali gani?
Mimi naomba kuuliza swali.
Kuajiriwa ni bora zaidi au kujiajiri? Najua jibu ila sasa nimechoka nikiajiriwa sidumu kazini na pia ni kwasababu unakuta boss anakuwa...
Kuna kazi nimepata hivi karibuni sasa nikaambiwa malipo yanafanyika kupitia benki na nikatakiwa kuwa mteja wa benki hiyo ambayo ofisi imetaka ili niwe nawekewa mshahara wangu.
Sasa kutokana na...
Wakuu naishi kota za kupanga hapa Changombe, upande ninaokaa kuna jirani yangu chumba cha jirani ni mama mtu mzima hivi ni mshika dini sana sana.
Cha ajabu juzi nimeamka saa 8 usiku na kutoka nje...
Habari za wakati huuu wana JF . poleni na mihangaiko ya hapa napale.
bilakuopteza muda niende kwenye mada moja kwa moja.
Huduma za mitandaooo hapa nchini zimekuwa nachangamoto mbalimbali saaana...
Watu wana wa-judge sana watu wanaopambana kutafuta pesa
Ilimradi tu hawavunji sheria, mimi nawaheshim sana, manaa wana uthubutu ambao wengi hawana.
1. Mitume na manabii
2. Wanasiasa
3. Wadangaji...
Kweli wezi si watu wema haha... walichukua simu Kama yao...bt thanks Lord I'm back,maana na Covid-19 hii kuBuy a new phone ni ujasiri[emoji1751] ... I real miss you Guys [emoji8][emoji8]
Nimeamka zangu asubuhi nikala mihogo ya kuchemsha na chai ,baada ya muda kidogo maza angu mmoja hivi ninae kaa naye akaweka kisamvu jikoni .
Kuja kufatilia kumbe majani ya kisamvu yanatoka kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.