Habari zenu wana jamvi, kama kuna mtu yupo maeneo ya Tanga mjini ningependa kuonana naye hata tubadilishane mawili matatu hata kujuana zaidi sisi kama wanajamii wa JamiiForums.
Tanzania tumetoka mbali saaana. Leo nimekumbuka enzi zile nikiwa Primary School kuna siku nilirudishwa nyumbani kufuata karo.
Kwanza kabla ya kurudishwa unachapwa fimbo za kutosha kama sita hivi
Enzi hizo miaka ya late 80's na earl 90's
kulikuwa na aina za mavazi ambazo almost kima mtu alivaa:D:D
ntazitaja baadhi zingine mtanisaidia malejendari
1. chupi zza kiume ziliitwa VIP, Hii kila...
Chadema ndugu zetu wanapinga kila kitu mpaka wanachekesha et magufuli katumia hela za walipa Kodi vibaya kwa kujenga Fliy over kubwa
Na wanadai wakipita pale wanajiskia vibaya na kuhisi kutapika...
Jamaa alinunua friji jipya, akawaza namna ya kuondokanana lile la zamani basi hatimae akaliweka nje ya nyumba yake na kuandika kibao ANAE TAKA KUCHUKUA ACHUKUE BURE. Watuwakawa wanapita wanafungua...
Ukiwa umelala labda kitandani ila kichwa umeelekeza ambako kuna slope ya kushuka. Yaan kichwa kinakua chini kidogo kulinganisha na miguu, basi unaota ndoto za kutisha tu. Hilo nmeliona si mara 1...
Huwa nina kawaida ya kuweka mafuta katika kausafiri kangu once per week. This time nimeenda jana Alhamisi. (Kuna shell fulan ndo huwa naitumia) kwa kawaida nilizoea kuweka mafuta ya shilingi...
Ama kweli misemo ya waswahili wakati mwingine ina ukweli ndani yake....
Eti wanasema USIPOSHIKA FEDHA BASI UTASHIKA HATA ADABU,na tena ati ni LAZIMA ushike kimoja kati ya hivyo!
Wale walioshika...
Kama umeoa uchagani siku umekutana/ umeenda ukweni kwa wakwe unaleta stori tu utadharaulika tu. Uchagani pesa mbele kama tai. Huna pesa wewe ni ZUCHU tu
NB: Kama mapenzi waachiwe wahaya
Mwenzenu huwa namshikia kidedea kijana wangu awe anajisomea kipindi hiki wako nyumbani.
Sasa nimemuona leo kashika kitabu cha Kiingereza. Nilishakitazama hiki kitabu kina swali ambalo najua...
Habari za mida hii Wakuu natumaini shughuri zetu zinaenda vizuri
Leo bwana mida ya asubuhi hivi nilikuwa natazama Clouds 360 ila kuna clip flani ya Mkuu wa Wilaya ilionyeshwa anasema kwamba leo...
Gone are the days.. When boys were real boys.
Rules of football when we were kids
1. The fat kid was always the goalkeeper
2.The owner of the ball decides who plays
3. If you didn't participate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.