Habari wadau..
Mara kwa mara naliangalia lile tangazo la mtandao wa LIVE IT, LOVE IT, Nakupata mashaka sana na yule mjuba alieacha BUKU TENI akarudi akakuta mapochopocho ya HELA YOTE. Alafu...
Moja ya raha za duniani ni kwenda sehemu ambayo hujawahi kwenda kabla, kuona watu wapya na kujifunza mambo mbalimbali. Safari huweza kuwa ya ndani au nje ya mipaka ya nchi uliyopo
Kikwazo cha...
Wakuu habari za lockdown?
Nimekuta sehemu watu wakijadili na kushindwa kufikia muafaka. Swali ni kwamba kwa nini nyumbani unapiga bao 1 kwa mchepuko bao 5? Je, ni kweli? Na inasababishwa na...
wakuu kuna mshikaji wangu hivi kila akilala usiku anamuota israel mtoa roho anamvizia vizia hii yote ni kwa sababu ya hofu ya kutolewa roho na mkewe aliyeanza tabia ya kulala na mapanga na visu...
Hii kitu ina umhimu wake aisee, natamani siku moja nipange room, nianze kujitegemea, kikubwa room yangu sitaki ikose Pad na Tv kwa ajili ya game, yaani game kwa kwenda mbele.
Mbali na uchumi...
Thread maalum kwa yoyote ambaye angependa kushow love kwa jf member mwenzetu.
Unachotakiwa kufanya ni kumtag mtu wako aje apa alafu unatupia mistari kama yote wadau wengine tutakupa sapot...
Nikisemaa Nakupenda sidhani kama nitakuwa nimekosea,moyo wangu wote unawaza kuhusu wewe,kila tone ya pumzi yangu inayotoka inatoka kwa mapigo ya kutamka jina lako zuri,
yna2 unajua mapenzi...
Naomba kujua tafadhali, maana kila kitu kibaya utasikia Buza, mademu wabovu wanahusishwa na kutokea buza. Kifupi kila mtu wa ovyo atahusishwa na kutokea Buza.
Kunani Buza? Wengine tupo huku...
Wakuu Habari za saa hizi!
Wakuu mimi nina Rafiki yangu mmoja hivi sio kivilee sana hapana ila ni kukutana kitaa tunapeana tano basi life linaendelea.
Kitu kimoja kinachonishinda kwa huyu jamaa...
FINANCIAL SERVICES: Ngareroo pole nimekuja ghafla.
NGAREROO:Usijali.
FINANCIAL SERVICES: Ni vile wewe hukua umenibamba.
NGAREROO:Aah Financial services pia kwangu ni msoo kwanza vile ulituosha...
Usimvurugie mipango Kama umekutana nae mjini ,mwache aende. Isipokuwa unajovika jukumu la kumsaidia kufikia ndoto yake,achana nae tu.
Anaweza kuwa mrembo sana anavutia mno lakini kama bado ana...
Ile kazi naimiss sana kwasasa.
Ni kazi ambayo nikiambiwa nichague basi itakuwa first choice huku kazi za uhasibu na ugavi nikiziweka pembeni.
Nina hamu sana kuongoza magari barabarani.
Nyie...
Habarini wana JF
Nani hapa hajawahi kudokoa mboga jikoni? Aise! mimi nilikua mdokozi matata sana yani mama alikua anapenda kuchemsha nyama pamoja na viazi kabla ya kuunga mboga. Navizia jikoni...
Kweli jf imekuwa dampo la machizi,wajinga na wapenda sifa.huyu jamaa yupo active muda wote lakini michango yake miyeyusho.comment yake moja tu eti "Asante kwa taarifa" acha kutuletea ujinga wa...
Habari wana JF wote kwa ujumla. Kama title inavyojieleza.
Nimeona Leo nianzishe huu Uzi ili wenye hizi tabia waache kwa sababu naamini muda mwengine huwa inawakera baadhi ya waleta mada.
mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.