JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jaman class tulieni kila mtu ajisomee Jibu kama "black bancher"
0 Reactions
4 Replies
749 Views
Tuwaone mablack bancher sasa
0 Reactions
5 Replies
765 Views
Hio Chai ikimiminwa,Ni kikombe namba ngapi Kitajaa chai haraka hapo,na kwa sababu ipi?
0 Reactions
48 Replies
3K Views
Vituko vyetu kwa jinsi tunavyoichukulia Corona vimefika hadi Abuja-Nigeria..video Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
13 Replies
2K Views
1: HP 2: Epson 3: Canon 4: Dell 5: Mo Dewji Hii namba tano tujikumbushe (I) Azam Energy- Mo energy (II) Azam Ukwaju- Mo Ukwaju (III) B29(sabuni ya kipande)- Mo29 (IV) Azam cola- Mo cola (V)...
1 Reactions
7 Replies
606 Views
Nimeamka alfajir kufuatilia mchongo town, mambo yamekuwa magumu mno. Baada ya kutofanikiwa, huku nikiwa nimeahidi mambo mazuri nyumbani, nimekumbuka maneno ya jamaa mwenye PhD ya ukungwi; daah...
1 Reactions
2 Replies
723 Views
Njoo tukosoane. Andika kitu chochote unachoamini au kuwa na uhakika nacho kwamba ni cha kweli unavyofahamu wewe halafu member mwingine atakuja kukukosoa. Mfano mimi siku zote nilikuwa nafahamu...
1 Reactions
13 Replies
848 Views
Habari za jioni wanajamiiforums wenzangu? Kwa muda kidogo sasa nimekuwa nikijiuliza hivi ingekuwaje kama wasichana wa kibongo wote wangehamishiwa kwa jirani zetu Kenya na hao wasichana wa huko...
1 Reactions
148 Replies
35K Views
Nimeamini Kiba anafanya mambo makubwa sema ni vile hataki shobo tu. Alikiba ameanza mazungumzo na mamlaka husika mkoani Shinyanga kuhusu kupata kibali cha kununua uwanja wa ndege uliokuwa...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari wakuu. Sasa nanyoa ndevu mara 2 kwa week wakuu yaani barakoa imekuwa tabu kweli kwangu. Wenye ndevu wenzangu hali ipoje kwenye hili?
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakuu kuna swali dogo napenda niwaulize. Na yule wa kwanza kujibu kwa ufasaha basi anajipatia zawadi ya milioni 2. Ngojeni kidogo simu imezima chaji..ikijaa nakuja kuwauliza
0 Reactions
21 Replies
2K Views
```Vijana watatu wa chuo kikuu hawakufanya mtihani kwa sababu hawakusoma na hawakujiandaa. Wakaja na mpango, wajichafue na oil chafu kisha waende kumwona mwalimu wao wa chuo. β€œMwalimu tunaomba...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Oozah inakuaje wajuba fas izi, I hope mko yechu ile kinyax, basi bhana acha niende moja kwa moja kwenye mada... Ebhana siku ya Eid nilitimba na wahuni wangu town kati pale ku'party. Tulikua na...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
(MBILI 3 ZA MZAMBULI) Aslaam Aleikyum ndugu zanguni,,I hope mko poa,,kama kawaida mbili 3 za Mzambuli ndizo zinaanza kabla ya Targeted Story... MZAMBULI:Oraah skieni wajuba niwaambie ukweli...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
*Mzuri wa sura sio unakuwa na demu sura kama ngiri. *Mweupe au rangi ya chocolate au maji ya kunde na sio mweusi. *Shepu lazima awe na msambwanda medium size,Sio shape kama Sanchoka maana ile...
2 Reactions
72 Replies
3K Views
JAMAAN ndugu zetu form six (6) wanateseka Sana kusomaa Hadi sometimes wanawaza wajifukizee TU izi notes. Tuwaombeeni dua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
1 Reactions
3 Replies
819 Views
Kuna mwana jamvi yeyote amewahi kwenda ukweni akakutana na kioja chochote? Atiririke hapa chini ili sisi tunaotarajia kwenda hivi karbuni tujifunze vipi vya kufanya na vp sio vya kufanya .........
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Hii ni kwa mabaharia tu. Anayekupenda mpende tena kwa dhati ila asiekupenda wala usihangaike kumzingua mpe tu number zangu utakua umemaliza mchezo.
0 Reactions
0 Replies
635 Views
Huyu jamaa nlisoma naye chuo miaka ya nyuma. Ni msukuma wa Mwanza. Alikuwa jamaa fulani hivi wa Mkoani amegangamaa. Baada ya hapo ktk harakati za maisha akahamia Kinondoni. Jamaa amebadilika...
17 Reactions
31 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…