Wanajamvi nimeikuta hii mahali nkasema niilete kwenu niulize
Inasemekana wasichana wa kichaga hawajui kushika mwanaume ki romantic, wanashika kama bakuli la mtori?
KUNA UKWELI HAPA??
Ulishawahi kupita mahali ukala mishikaki halafu ukafika kwko hujisikii kuingia ndani una jiskia kushinda nje au kuzurula tu?
Ujue umekula mishikaki ya mbwa
Baa za Kibongo bhana, majina yake ni full vituko kwa kweli, eti baa inaitwa 'Toroka Uje' au inaitwa 'Moja Haitoshi' au 'Njaa Haina Baunsa'.
Bandugu, tupia majina ya bar zingine unazozifahamu.
Moja ya changamoto kubwa tunayokutana nayo abiria ni kubanwa na haja, inaweza kuwa kubwa au ndogo, usiombe iwe kubwa unaweza jinyea.
Changamoto nyingine ni kukaa na mtu ambaye haeleweki...
Nimeambiwa kuwa kuna Mbinu mbalimbali ila najua hapa Jamvini JamiiForums wapo Watu ambao enzi zao nao ' Walibobea ' ama katika Kuita Ndugu zake wakati wa Kula au Kuitwa Yeye na Mwanafamilia ili...
HOW MEN COOK UGALI...!!!
RECIPE"
1. Put Sufuria on fire.
2. Realize there is no matchbox.
3. Run🏃 to Bwashee for the matchbox.
4. Come back, light fire.
5. Put water on the Sufuria.
6. Realize...
HAWA NI KINA NANI???
UZI [emoji116]
Siku za hivyi karibuni utakuwa umekutana na video za hawa jamaa ambao kila mtu amewapa jina lake : wengine wanawaita kamati ya roho mbaya, wengine wajuba na...
Kwa wadau wazuri wa JF na wapenzi wa habari za kijasusi bila shaka tunamfahamu huyu mdau mzuri na mwandishi nguli wa hizi makala alikuwa akiandika kipindi cha nyuma ila kwa sasa sijajua makala...
Zamani ili watu wapitishe wazo lilitakiwa lijadiliwe wakati hawajalewa na wakati wamelewa..
Nipo zangu hapa MICASA Club Ubungo..nimepata bapa yangu kubwa.. Inshort nipo super..yaani.. najua...
Wakuu Salaam;
Watu wa Dar tupeni updates za Covid-19 festival inayofanyika leo.
Sisi wa mikoani hatujaruhusiwa kusherekea hiyo shughuli, hivyo tunakosa uhondo halisi kulinganisha na nyie wa Dar...
Aslaa Aleykum ndugu zanguni,,Eid Mubarack kwa wana JF ila ukini'PM au ukinitext kuhusu nikualike unione kimya jua nakufikiria...
(MBILI 3 ZA MZAMBULI)
MZAMBULI:Koh! Koh!..duuh ya Leo wakurungwa...
Kwa akina Rama kulikua ndio kuna video mtaa mzima.
Kila ilipokua inafika Saa 12 naoga huyooo Kwa WA RAMA, mda mwingne wakiivisha nipo mara moja moja nilikua nakula kwa WA RAMA.
Sasa siku Moja...
Jamani wanajamvi naweza kuwa mgeni wa jambo hili: ni zipi sifa halisi za wakidada wa kichaga na ukitaka kuoa ni taratibu gani za kufuata mpaka kutoa mahali? Msaada jamani wanajamvi.
Ndugu zangu Waislamu,
Issue ya Pasaka wenyewe mliona Covid-19 ilikuwa imechanganya, lakini hii Eid si mnaona hata mipira imeanza. Tufanyiane wepesi basi leo mchana. Dini zinakataza visasi.
Heri ya Eid Mubarak wanaJF!
Nipo hapa sina amani. Jioni hii nilitoka home nikaenda kitaa kuzunguka kidogo, wakati wa kurudi njiani nikakutana na baba yangu mdogo tukaja hadi home...