Nimejiuliza tu, mtu anaenda kwenye mkusanyiko bila wasi wasi kabisa, hajanawa mikono, hana barakoa wala sanitizer! Hivi kama anaweza kuwa na ujasiri huu kutokuvaa kitu kinacholinda maisha yake na...
Kila nikitaka kwenda uwanja wa ndege niishie zangu UK [emoji52]
Ghafla nakumbuka kuwa Tanzanian tupo watu Million 59 nikiondoka mimi mmoja kwa mahesabu ya Haraka haraka Watabaki watu Milioni 58 "...
Nipo njiani naelekea Magogoni nasikia kuna manyumba bwerere, maji, maumeme na mazagazaga mengine.
Halafu wakazi wengi wa maeneo hayo wengi wamehamia vijiini. Anayehitaji aunge msafara!
Wakuu ngoja twende kwenye mada,
Ndani ya miaka miwili yenye miezi 24 na ushehe mwezi huu nimepigika sana kuliko miezi mingine nadhani ingawa sina kumbukumbu sahihi.
Sasa kuanzia jana kuna...
If not for you, I wouldn’t know
What true love really meant.
I’d never feel this inner peace;
I couldn’t be content.
If not for you, I’d never have
The pleasures of romance.
I’d miss the bliss...
On behalf of Beth l would like to apologize that's today's interview show is going to be conducted through English language.
It's my pleasure to extent a cheerful welcome to you all.
Am...
Habari zenu wakuu?
Poleni na swiam na mapambano dhidi ya kirusi kinachohatarisha amani ya dunia
Niende straight na lengo au nia yangu ya kutaka kuuliza especially kwa ambao washawahi...
Kwasasa mitaani kuna watoto shazi kotokana ña covid 19,
Hapa ninapoishi kuna eneo "open space" watoto kwasasa wanalitumia kwa michezo yao mblmbl l.............
Natoka zangu kiosk's kufanya yangu...
hakuna kitu kinaumiza kama uwe na wiki hujaoga halafu siku umeamua kuoga ukute dodoki lako lina unyevu nyevu kumbe kuna kobe kipindi huogi yeye alikua analipigia pigia sumarry kiaina tuuu...
#me...
*JINSI MAZOEA YA MWALIMU NA MWANAFUNZI YANAVYOANZA*
Siku1
*STUDENT*: Hello sir, bila Shaka ni Sir Jonare?
*MWALIMU:* Ee Mimi hapa, naongea na nani?
*STUDENT*: Aaah angalau, unaongea na Veronica...
Naombeni mnisaidie hivi ni zawadi ipi nikimpatia mke wangu itakuwa poa. Nataka nimpeleke suprise ya zawadi.
Je, nikimpatia kama 100,000 inaweza kuwa sawa au nimnunulie kitu .na je iwe kitu gani?
Mwanamke aliingia kwenye bucha ya nyama na kuuliza "Una kuku?"
Muuza nyama akafungua friza na kutoa kuku pekee ambaye ndiye alikuwa amesalia akamweka kwenye mizani. Mizani ikasoma Kilo 1.5.
Yule...
Wanabodi
Baada ya kuambiwa kuwa tuitumie siku ya Jumapili kupiga shangwe la nguvu kwa kumshukuru Mungu kwa kutukinga na jangwa la Corona, Sasa ni wajibu wetu tujiachie na tuserebuke kwa...
Asee nilicheza ndondo Fulani nikapiga vitatu.Nilisajiliwa pale the blues nkamkarisha benchi ngolo kante nimefunga goli moja la ushindi dhidi ya Barcelona.
Usiku mwema Leo nikiota ntawaambia tena
Hata sijui kwanini huwa inatokea hivi, naamini kuna wanasayansi nguli watatuelezea.
Binafsi nimepatwa na visa hivi vingi na nikabaki kujishangaa.
Nakunbuka kuna siku nimepewa mayai na jirani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.