Haya ndo ma group yaliyojingea umaarufu mkubwa mjini dar ...........
1. Team kusere
2. best friends
3. Choma China
4. One touch
5. Fusee
6. The Vaults
7. Bondeni lounge
8. Besabarand...
Habari Ndugu nimeona si vibaya tukawa na thread ya ndoto tunazoota kila siku yaweza kutusaidia kutunza record ya ndoto na kupeana maana ya ndoto tunazoziota.
Binafsi usiku wa kuamkia juzi niliota...
Kila mtu aseme anachukua samaki gani hapo....mimi nachukua pweza..tena huyo mkuuubwa...
TUAMBIANE NI AINA GANI YA SAMAKI UNAYEPENDA KUMTUMIA KWA KITOWEO NA MBOGA..
Mwaka huu huwezipitisha siku bila kusikia haya:
Corona, covid 19,barakoa,sanit sanitizer,sabuni,maji tiririka, epidemic, pandemic,lockdown...ongezea na mengine
Wasalaam,
Binadamu ni kiumbe hatari sana na very smart creature kuwai kuumbwa.
Lengo la uzi tuambiane namna gani uliweza kuescape kulipa bill,iwe ilikuwa bar,hotel ama popote pale ila Mwisho wa...
Hivi kwanini maskini wengi wanakuaga mawazo ya kufa? Wewe nenda na rafiki yako yoyote ambaye si tajiri, nenda naye gorofani juu, lazima kuna swali atakuuliza. Utasikia wewe ukipewa milioni 1...
Kutokana na mabadiriko ya sayansi na teknolojia kumekuwa na muingiliano mkubwa wa bidhaa mbali mbali.
Zipo bidhaa ambazo ni bora na ni original lakini pia zipo ambazo ni feki na bado unaweza...
Alf lela ulela za Bi. Kasinde kabla hajatafakari.
Hii ni maalum kwa kupata simulizi endelevu za Bi Kasinde akiwa chumbani kwake kila apatapo wasaa.
Atachukua kilongalonga chake na kupachika...
Jamani wanajamvi kuna member mmoja hum JF aliwahi leta uzi wa utabiri wa Tz 2015 rais Atakuwa Dicteta huyo jamaa ni Magamba matatu sijui jamaa yupo wapi kwa anayejua atujuze
Mimi ninamiaka 35 nakaa kwa mjomba wangu , sifanyi kazi na sihitaji kazi , mwanzo kabla la hili gonjwa hatari msosi ulikuwa unapikwa mwingi na nilikuwa nashiba.
Lakini gafla bini vuu hali...
Mimi ni hiki "Think and Grow Rich"- By Napoleon Hill na How to influence people and win friends-DALE CARNEGIE
Ni vitabu ambavyo navikubali sana sana na haipiti mwezi lazima nivisome tena...
Ni taratibu gani au vigezo gani au masharti gani yanatakiwa hadi niweze kufungua acount bank ya dunia.
Kwa mfano mimi ni bilionea ambae hela yangu bank za hapa Afrika labda hazina kiasi hicho cha...
Habari wakuu,
Naomba tujikumbushie kidogo enzi zile tunasoma, waliowahi kuvunja vifaa mbalimbali vya maabara(apparatus)
Mimi kwa upande wangu nilivunja sana test tubes sikumbuki hata ni ngapi...
Si nilisahau bestito kumbe Leo ndo kumbukumbu ya kuzaliwa kwako katoto kachanga so nilikumiss sana acha nikutakie hero na fanaka ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwako wadau na wapenzi na marafiki za...
Ni kijana wa kitanzania, umri ni 20's, sijaoa wala sina mpenzi, sina MTOTO HATA MMOJA lakini NINA NYUMBA 2 na GARI MOJA.
Elimu nina Degree ya Business.
Nikiamka asubuhi sa11 alfajiri nafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.