Habari wakuu...
Nipo hapa ninasikiliza Lusekelo chanel 10..
Nimeshindwa kumuelewa hata anachozungumza.
Hakuna kifungu hata kimoja cha bible anatumia.
Anaongea kwa jazba hadi kutukana...
mabaharia kuweni wakweli na mfunguke
Hadi leo hii tangu maisha yako ya kabla shule ya msingi, shule ya msingi, sekondari na chuo umekwisha kutana na papuchi ngapi?
A. 1 HADI 5
B. 5 HADI 10
C. 10...
Katika makuzi yetu tunapitia changamoto nyingi sana, tunapitia moments/vituko ambavyo ni ngumu sana kuzisahau
hicho ni kituko changu nilichowahi kukifanya miaka fulani nikiwa katika foolish age...
Nawasalimu,
Mwenzenu nilileta uzi humu zamani kidogo juu ya afya yangu mbovu ya presha na moyo,Niwaombe tafadhwal,kama uzi wako unaanza na neno TANZANIA tafuta neno jingine mnatushtua sana...
Fanya hvi chukua mwaka wko uliozaliwa halafu jumlisha na umri ulionao sasa utapata 2020. haijalishi umezaliwa mwaka gan na una umri gan watu wte jumla yke ni 2020. mfano 2000+20 = 2020 au...
Habari zenu wadau? Poleni na vita ya corona. Naomba kwa anaejua kwaya walioimba kiitikio cha ngoja ya roma inayoitwa kaka tuchati ile kwaya ni kwaya gani na wimbo unaitwaje. Ahsante
2020 nadani ndo mwaka uliomake history kuliko miaka yote na hii imetokana na uwepo wa covid-19.
Kuna watu tumekaa ndani mpk sasa wengine tumeweza kupika mpk chapati za kusukuma(joking)
Binafsi...
Ebu fikiria girlfriend wako anakuja kwa keja yako akiwa amevaa chupi mpya, wewe kwa haraka zako unamvua pamoja na sketi yake bila hata kuiona Utafiti wa kisayansi unaonyesha kuwa; Hakuna kitu...
Wandugu, jamaa na rafiki zangu wanyonge.. Nimekuja kwenu rasmi kwa ushauri na msaada.. Nimekwama na niko njiapanda. Msaada wako kimawazo na ushauri ni muhimu sana kipindi hiki kigumu nilichonacho...
Wakuu,huwa najiuliza kila siku, hii mishkaki [ya ng'ombe] inayouzwa sh.100 maeneo mbalimbali ya dsm, wauzaji wanapata faida gani?
Maana ni vipande 5 vya nyama, tena vitam tu, sasa kama kilo ya...
Hivi serikali haiwezi kutugawia kila mtanzania Milioni moja moja , maana mbona ni Tupesa Tudogo ...tuu ili Kupambana na COVID19 mbona kama nasikia Serikali iko na hela na sisi ni Dona...
Kunguni ni Mdudu Mdogo sana na mwenye kujificha sana ila hujitokeza sana pale anapoona utulivu anapenda sana kujichanganya na wengine tatizo hapendwi... leo wacha ni list aina za watu wenye damu...
Yanachekesha sana.
*Wanawake wa JF wote ni wazuri
*Members wa JF wote elimu yao ni kuanzia degree.
*Kila alie Facebook yupo Dar.
*Asilimia kubwa ya wanaotumia insta wanajidai wana maduka ya Nguo...
Nimekua nikijiuliza sana ni kwanini haiwezekani kuvunja yai kwa kulibana vertically katikati ya viganja?
Pana sayansi gani hapa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipindi hiki cha Corona kinazidi kunipa mawazo ya kukata tamaa ya kusoma na kuona tutazidi kuchelewa kumaliza nimekuwa ni mtu wa kulala tu na kuamka na kuwa na mawazo yasiyoisha 24 hrs kuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.