Siijui hiyo siku ila itakapokuja utakuwa msiba wa wanawake hakika.
Kuanzia upanga mpaka tukuyu
Buzurugwa mpaka korogwe
Naples mpaka turini
Ngarenaro mpaka same
Rukwa mpaka lufilyo
Moshi...
Nimeshajipima na kujitambua siwezi kuishi kabisa bila kumuona mwanamke duniani !
Ikitokea hivyo nitakufa instantly hakika.
Women hasa ambao sio bloodline hakika wananiumiza mno.Nakiri udhaifu...
This guy he's so Cool
Cool guys..Passive guys
Kit Harington (Jon Snow) Mwaka 2018 alifunga ndoa na mchumba wake Rose Leslie (Ygritte) aliekutana nae kwenye kuigiza series ya Game of thrones...
Niaje wanaJF
Kawaida yangu ku expose maisha yangu nipate kushauriwa bana. Maana unaweza kujifanya much know (kama asemavyo King Crazy GK kwenye wimbo wa Piga Manati Piga ya kichwa) mambo yakienda...
Wakuu masikio yetu yanahitaji pia kusikia habari tofauti na mambo ya covid-19,bila kupoteza Muda twendeni kwenye mada moja kwa moja.
Binafsi ningekuwa Mimi ndio nayeteua watukushika nyadhifa...
Acha nianze kwa kutoa SALUTE kwao!
Kuna wanaJF waliotumia akili nyingi sana kufungua threads ambazo baadhi zina mwendelezo na nyingine ni Non-Stop, unless ziondolewe!
Ningependa ni-point out...
Mtandao wa xdjay umefanikiwa kunasa picha mbalimbali za aibu za msanii chipukizi na mwanamuziki Manaiki Sanga akifanya ufuska wa kutisha na wanawake tofauti tofauti hali inayoonesha ameazimia...
Kulingana na swala la gonjwa hili la civid 19 mukusanyiko mbalimbali imezuiliwa ili kuthibiti kuenea kwa hili gonjwa hatari la covid 19
Misiba imekuwa n mingi afu ya kishua ambayo kwa siku za...
Straight kwenye mada kutokana na mlipuko covid 19 wengi wetu ndio tumezifahamu "mask" barakoa..
Wengi tulikua tunaziona hospitalini kwa wale wanaofanya kazi theatre Mara nyingi wao ndio huzivaa...
POCHI YA BINTI WA MAREKANI
1:Visa card
2:Driving License
3:Business Card 3 muhimu
4:Hela ya matumizi
POCHI YA BINTI WA TANZANIA
1:Tissue
2:Toilet Paper
3:Always
4:Lip bam
5:Lip shiner...
JF pamekuwa mahali pa burudani sana, wengi wetu hata tukiwa na stress huwa tunakimbilia huku. Wabarikiwe wote waliaokuwa sababu ya kuanzisha jukwaa hili.
Baada ya salamu kama wafanyavyo wabunge...
Kuanzia nakua mpaka sasa wali maharage umekuwa 1st priority kwa watoto wengi wa kibongo!,
Ila nikawaza kuwa kuku ni mtamu even samaki but maharage limekuwa kinara kwa haya yote!,
Ila ni kwanini...
Najua wengi mlikuwa bado hamjazaliwa lakini hebu angalieni wazee tulivyokuwa tunapiga mashairi.
Shairi hili nalidediketi kwa vidume vya JF vinaoongoza kwa kupigwa vibuti na mabinti wa JF...
Karibu Jukwaani la kutoa kero yako,dukuduku na hata Povu ikibidi kuhusu member yeyote,hata mods ikibidi na hata kama kuna member amekukwaza pia unaweza kumfungukia hapa .:p
Naanza...Kero yangu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.