JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
___________________________________ JITIBU NYUMBANI KWAKO KIUNGULIA [emoji116][emoji116] Aliyepatwa na kiungulia ale nyanya 1 asubuhi na jioni1 kitaondoka In shaa Allah KUZUIA KUHARISHA...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Kuna huyu mwanachama mwenzetu anaitwa Mkwepu Jr huwa sijawahi kumuelewa, yeye yupo kila sehemu na anagonga LIKE TU bila kuchangia mada yoyote ile. Halafu huwa anagonga LIKE muda ambao wengine...
26 Reactions
333 Replies
12K Views
Weka uongo mwingine hapa....Tuondoe mawazo ya mlipuko wa huu ugonjwa Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
34 Replies
2K Views
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Hello every body, Moja kwa moja kwenye mada,kila mtu amekuwa akipumzishe mwili na akili kwa jambo ambalo ataona linampa furaha na kumsahaulisha machungu yote katika kutafuta riziki. Kwa upande...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Wanajukwaa nimechanganyikiwa. Ndege yangu aina ya Dash 8 imepotea katika mazingira ya kutatanisha, niliipaki Airport ya Uwanja wa ndege. Mwenye taarifa anipm tafadhali.
2 Reactions
42 Replies
7K Views
Hivi kwanini watu wanapoibiwa au kupoteza kitu huwa wanafanya mambo ya ajabu... 1.Kuna jamaa aliibiwa bicycle sokoni yaan aliitafuta hadi mfukoni duh.... 2.huyu yeye alipoteza funguo za...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi jamani kwenye mchezo Wa karata kuna kadi moja inaitwa mavi,hivi ile ndo jina lake au sisi tu,MTU anaejua aniambie,utasikia wachezaji wanasema toa mavi nilambe,au lamba mavi,je haina jina...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Wadau nina wazo la kwenda kuanzisha maisha huko Katesh mkoa wa Manyara naombeni kujua. Mandhari ya huko Hali ya hewa Biashara gani inaenda sana Nini cha kuzingatia kama mgeni Nitangulize...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna Jamaa namdai lakini kila siku anapost picha akiwa anacheka hizi si dharau za wazi? Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Eti kwa mfano Umekwenda Dukani Na elfu Kumi! Kununua Sumu ili Ujiue! Kuna haja ya kusubiri chechi!!! ebu tiririka hapo chini maoni yako!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
WHO mlisema mnatoa ushauri wa kitaalamu kuhusu corona. Sisi Rais wetu mwenye PhD ni mtaalamu zaidi na kwa mapenzi aliyonayo kwetu sisi raia wake amepima baadhi ya vitu kama mbuzi na mapapai, na...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
1. Covid Shekorona 2. Karantin Chuwa 3. Barakoa Nchimbi 4. Mwantumu Barakoa 5. Sanitaiza Sanga 6. Lockdown Julius 7. Wuhan Joseph 8. Mkaratusi Atufigwegwe 9. Mwarobaini Kibiriti 10. Fusho...
20 Reactions
25 Replies
3K Views
Jamaa kakosea njia
4 Reactions
22 Replies
6K Views
Dada Sky Eclat nimeona umefunga PM yako plz. Nina shida na wewe. Sky Eclat
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Wale wa nyanda za juu kusini,kesho nakuja kuwatembelea,Mbeya,Tukuyu,Mbalizi,Iringa na kwingineko,nitakuwa kwenye utalii wa ndani wa siku 4 kuanzia kesho,itakuwa mara yangu ya kwanza kufika huko,na...
4 Reactions
50 Replies
3K Views
Gender balance izingatiwe Shunie Smart911
9 Reactions
658 Replies
27K Views
Wakuu naombeni mnieleweshe Kuna story nimezisikia kijiweni kuwa mtu tangu kubalehe Hadi leo karbu miaka 40 bado hajaamua kuunga juhudi za waoaji,wanawake nao imekuwa fashioni unasikia naenda...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Back
Top Bottom