JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Me naanza Hau a yuu?
3 Reactions
252 Replies
19K Views
Naomba udondoshe msemo/misemo yoyote inayoendana na kipindi hiki cha corona. Mimi naanza 1.mficha uchi hazai. 2.akufae kwa dhiki ndie rafiki. 3.kunguru muoga uishi miaka mingi 4.mbio za sakafuni...
1 Reactions
8 Replies
895 Views
Siku yoyote ile huwezi ukakimbia kifo. Popote ulipo kinakufata, hata uwe kwenye mahandaki madhubuti kiasi gani,kifo kinakufata tu. Rais wetu kakimbia ikulu kuu, ni kwa sababu ya gonjwa la...
1 Reactions
5 Replies
647 Views
Siyo kwamba naogopa Kifo ila hali kwa sasa ni tete inabidi tujiandae kwa lolote. Je, nikifa leo utanikumbuka kwa lipi? CC Zero IQ
2 Reactions
47 Replies
3K Views
Habarii Wapendwa? Huwa Unajisikiaje Pale Mtu Anapokusalimia Kwa Jina Lako?
0 Reactions
51 Replies
2K Views
Wamenacha Hoi Kwa Kweli.
1 Reactions
16 Replies
902 Views
нι
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari za muda wapendwa wana chitchat? Thread is about crazy things you did in Jamii Forum. Uzi tayari
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Hilli jambo huwa linanitatiza sana hivyo huenda leo nikapata majibu mujarab kabisa kutoka kwenu ndugu zangu.
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Wadau, Tangu nimetemana na baby wangu a.k.a wife to be back in the days.....nimepoteza hizia/Affectional za mahusiano kabisa....sikuhizi nimekuwa wa ku-hit and run...some are coming with good...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari. Tafadhali mwenye uwezo wa kunisaidia kumpata mwizi aliyetapeli hela. Yupo hapa Dar na namba yake ya simu na IMEI ya simu yake ninayo. Inaonekana anapatikana maeneo ya Mwananyamala. Kwa...
0 Reactions
3 Replies
902 Views
Wakongwe humu mtamkumbuka huyu mwanadada wa kuitwa Lara 1, "kubwa la maadui". Posts zake ulikuwa huchoki kuzisoma, full of wit, mtoto wa mjini haswa! Sijamuona kitambo humu. Nimemiss uwepo wake.
5 Reactions
28 Replies
4K Views
Wakuu; Huu ni uzi maalum kabisa wa kupost picha na (au) video za kujifukiza. Lengo ni kupeana uzoefu na mbinu bora kabisa za kujifukiza hasa wakati huu ambapo suala hili limeshika kasi kwenye...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Binafsi movie yangu hii matata kabisa ningeiita "Rise and Fall of Mzee Toboa 1&2&3". Je, movie inayotokana na maisha yako ungeiita jina gani?
4 Reactions
84 Replies
5K Views
Namshkuru Mwenyezi Mungu kwa kuniweka hai na salama mpaka siku hii ya leo (28th April). Nimeamka asubuhi mida ya saa 12,nikakuta msg tatu zote toka kwa mpenzi wangu akinitakia heri katika hii...
18 Reactions
39 Replies
3K Views
Wakuu habari na poleni na hili janga la COVID-19. Jana mimi kama Mchimba Chumvi niliweka tangazo humu la kuuza sim yangu na nilifanikiwa kwa asilimia 1000. Sasa bwana jioni nilifanikiwa kupokea...
8 Reactions
28 Replies
2K Views
Umuofia kwenu ndugu zangu Kwanza ieleweke kuwa sipo hapa kujigamba wala kujipigia mstari, ni swali la kawaida tu nimelenga kuwashirikisha na kujifunza kwenu. Ni kijana japo umri umesonga lakini...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari za Mapambano wadau wote wa JF, Nimatumaini yangu kuwa wote tunaendealea kupambana Dhidi ya ugonjwa huu wa mlipuko CORONA. Ama baada ya Salamu lengo la Uzi huu Ni kujua wale wote...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Msaada sehemu nzuri ya kuwezaa kutoka out kupumzika mazingira yawe kma garden au hotel ya bei ya kawaidaa msaada tafadhali. Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Wengi wetu tumewahi kua na wapenzi wengi, lakini wengiwetu wanaume tumewahi kujikita katika mahusiano ya kimapenzi na mwanadada AYU na GIV. Wale wenye pesa walidiriki kutembea na mtoto wa kishua...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Back
Top Bottom