JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nadhani kwa wana CHIT-CHAT mliopo hapa dar hii itakua poa sana. Napanga siku niandae chakula cha usiku, vinywaji pamoja na muziki wana chitchat wote mje tujumuike kama marafiki . Mnaonaje wazo...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Hii kukaa ndani kujiepusha na mikusanyiko imenifanya nimegundua kuwa Herufi b,p,d na q,ni herufi 1 ila mapozi ndio tofauti```[emoji3][emoji3][emoji28] *Tutulieni Nyumbani Tutagundua Mengi zaidi...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Nina kasimu kadogo aina ya OKING (OK 1710) nilikokanunua kwa shilingi za kitanzania elfu kumi na nane tu (18,000/=). Kwa kweli kwa bei hii sikutarajia kupata simu yenye teknolojia ya hali ya juu...
7 Reactions
23 Replies
3K Views
Tujuzane movie kali za kuangalia zilizomo huku ndani yaani NETFLIX.
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Kuishi Kwa Shemeji Ukisubiri Mchongo Ni Ushujaa Lakini Kuishi Kwa Shemeji Na Unalala Sebuleni Huu Ni Zaidi Ya Ushujaa Na Uvumilivu Imagine Mpaka Dada,Na Shemeji Yako Wamalize Kuangalia Tamthilia...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Ivi mwanaume mzima unaanzaje kutamka ili neno "KWIO"??? Mwenyewe apa naliwekea quotation Marks kulitamka kavu naona nongwa. Mtakuja ombwa mpigwe pipe kisa kutamka tamka " KWIO" Sent using...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Ndugu zangu Wanyakyusa ni Sanitizer siyo Sahani Tisa!
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Haya kwa wale wapenzi wa tamthilia hasa ISIDINGO, hebu naomba mnisaidieni haya; =>maana ya ISIDINGO =>na imefikia wapi hii tamthilia na itaisha lini,kwani kila kukicha ipo hadi waigizaji...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu. Inafahamika kwamba hakuna jambo gumu kama mtu mzima kutokwa na machozi. Kuna siku nilala halafu nikiwa usingizini nikaota ndoto ambayo ilinifanya nilie sana, kiasi kwamba mpaka...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwani naandikaga vitu vya ajabu sana au vya kushangaza?! Maana kila nikianzisha thread mpya lazima wadau wake kwa waume waje PM, wengine wanasema "Natamani siku nikuone nione kama vitu...
1 Reactions
27 Replies
1K Views
*unaweza kupika ugali hadi ukaungua lakin usiive *Unaweza kuacha kupika kisa unaona uvivu kuosha vyombo *Friji inaweza kugeuka kuwa kabati kila kitu unaweka huko kikombe,sahan, sukari majani ya...
5 Reactions
62 Replies
5K Views
MAJINA YA WANAUME NA SIFA ZAO KATIKA MAPENZI......JE? ULIJUA HILI? KARIBU...... [emoji23][emoji23][emoji23]1. Andrew-mapenzi ya tamthiliya 2. Nicolas-muongo 3. Albert-domo zege ila mjanja mjanja...
4 Reactions
46 Replies
111K Views
Binadamu wa kweli haishiwi lawama, karibu tulaumu hili na lile, Hawa na wale. Sent using Jamii Forums mobile app
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Kama kawaida ya kikaango kutoka JF hapa tunamkaanga member mmoja kila siku maswali ya kistaarabu na majibu ya kiprofessional Zaidi. Kwa leo tutakuwa na Ndugu yetu Da'Vinci kama guest,uliza swali...
13 Reactions
363 Replies
24K Views
"Kitu chochote kinachotokea katika maisha yetu ni lazima kianzie kwenye mfumo wa mawazo na baadaye ndo kinajidhihirisha kwenye mfumo wa hisia. Ubongo kupitia kwenye milango mitano ya fahamu...
1 Reactions
2 Replies
697 Views
Leo nimenunua kuku (jogoo) kwa ajili ya kitoweo cha kesho lakini tangu nimemfikisha nyumbani anawika sana. Yaani japo nimemfunga lakini anawika mfululizo kama kuna mashindano. Hii siyo kawaida...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Habarini za jioni wana jf wenzangu poleni na mihangaiko ya jumamosi naimani wote bado tunaendelea kuchukua tahadhari ipasavyo dhidi ya janga la covid-19. Ngoja niende direct to the point kipindi...
5 Reactions
79 Replies
6K Views
Ila tuacheni Utani Jamaa Mr. Alcohol yuko ' Fiti ' nadhani hata Kunishinda Mimi Kijana ( BaruBaru ) GENTAMYCINE na sikuweza kujua kuwa kumbe Mazoezi anayo na huenda akawa anayafanya 24/7. Hongera...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Katika kuongeza nguvu za awamu ya tano. Viti Maalum Wasanii kwa pamoja wanampitisha Juma Lokole awe mrusha bendera. Maendeleo hayana chama.
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom