JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hey fellas, I would like to thank you all wanajopo for pushing ahead this forum for the betterment of this nation. To all those people who are still battling for their lives in various healthy...
7 Reactions
9 Replies
726 Views
1- sikua najua kuna virusi vya Corona 2- sikua najua kuna mji China unaitwa Wuhan 3- sikuwahi kusikia wala kujua kuhusu Sanitizer 4- sikua najua mask zinaitwa Barakoa Wewe je?
2 Reactions
1 Replies
548 Views
Habari za sasa wanaJF Nasikia machozi ya mwanamke ogopa sana eti yana. Laana kwa Yule aliyemsababishia kulia. Hivi kuna ukweli wowote kuhusu hilo jambo,pia hivi mama MTU anapo mlaani...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu salama..!! Je, ingekuwa ni utashi wako ungejiita jina lako hilo hilo.? Nimeanza na ulizo hilo, kwa maana katika nyakati za ukuaji imebainika watu huweza kujipachika majina tofauti tofauti...
6 Reactions
95 Replies
5K Views
Heri ya Pasaka.. MADA ENDELEVU. Kwa lengo la kuchangamsha akili, Ushapu wa akili na Afya ya akili, Tupia hapa... Swali, Fumbo, Puzzles n.k chochote unachohisi kitachangasha akili. Naamini kuna...
5 Reactions
74 Replies
9K Views
Wanabodi habari, Hawa dada zetu avatar zao ni threat katika moyo wangu, Warembo, macho yao, midomo midogo, pua ndogo, nahisi mnawaonaga, wanapendeza mnoooo, kichwa kinauma last seen yao tangu saa...
4 Reactions
161 Replies
9K Views
Ingekuwa vp kama mbuzi katoliki angeambukiza COVID-19 je waliaji wa huyu mnyama mngendelea kula Au ingekuwa inaambukizwa kwa njia ya kujamiiana je wazinifu wangeendelea kizini? Take care...
0 Reactions
7 Replies
672 Views
Ni matumaini yangu kila mtu kwa nafasi yake anadhidi kuchukua tahadhari dhidi ya COVID-19. Hawa jamaa walipata kutuburudisha sana wakati ule kwa vimbwanga vyao, simu za mikononi na mitandao...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Nakumbuka wakati tupo zetu chuo kuna hostel moja hivi tulikua tunaishi, ni Hostel ya Mtu binafsi, wanaume tulikua tunakaa Floor ya chini, juu gorofani walikua wanakaa wanawake, ilikua ni Gorofa...
2 Reactions
40 Replies
3K Views
Mbunge mmoja nchini Uingereza atangaza kufunga suamu ya Ramadhani wiki moja kwa lengo la kujifunza hali ambayo huwa nayo waislamu kipindi hicho. Mbunge mmoja nchini Uingereza ametangaza kufunga...
0 Reactions
0 Replies
507 Views
*TUNAJIANDAA KUKOSEA ZAIDI* *Haji Manara* Wakati huu janga la ugonjwa hatari wa Corona likiichachafya dunia, habari kubwa ya kispoti nchini ni kuhusiana na wazo la Mh Waziri mwenye dhamana ya...
0 Reactions
3 Replies
790 Views
Salamu sana wana cc wote; Salamu sana wageni wote mtakaosoma huu uzi. Leo nimekuwa natafakari sana kuhusu zawadi; Nikajikuta najiuliza .......... hivi ni zawadi gani ya thamani kubwa ambayo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nlikuwa namwambia jamaa yangu mmoja alikuwa ananishangaa kuwa mbona sina girlfriend. Kiukweli sisi wenye vijicent kidogo, tuna elimu nzuri,exposure,maisha mazuri tunayotaka na hatuna mawazo basi...
17 Reactions
77 Replies
7K Views
Tumia maneno matatu tu kuandika habari ya yoyote yakufurahisha, Mfano NIMEKULA TUNDA KIMASIHARA Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
122 Replies
5K Views
Ukiachana na neno , 1: Weka taulo ili tusichafue mashuka 2: Ongeza Sauti ya Radio ili tusisikike 3: Funga mlango vizuri Ni neno gani jingine nimelisahau? CC Zero IQ
6 Reactions
62 Replies
6K Views
Wanajamii huwa nikitatizika sana kuhusu jina nchi yetu.Naona kuwa ingeleta maana zaidi kama ingeitwa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kwa maana nchi mbili ziliungana kuzaa nchi ya Tanzania.
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Yaani mtu mzima, huna ulemavu ila unapenda starehe; pombe, wanawake ila kutwa kupiga mizinga ili iweje? Mbona mnataka tutende dhambi? Msitujaribu zama hizi. NB: ukimpa ofa, akifika bar anaagiza...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Checking out at the store, the young cashier suggested to the much older lady that she should bring her own grocery bags, because plastic bags are not good for the environment,. The woman...
3 Reactions
1 Replies
373 Views
Sina kawaida ya kupiga wanyama, na nawapenda sana. Sema nilikua namuwekea chakula kwa haraka akapanda juu ya meza akaangusha kioo kikapasuka kabisa. Sasa nikashikwa na hasira nimempiga...
5 Reactions
55 Replies
4K Views
Majirani walitukejeli sana pale sisi tulipoamua kumuomba Mungu atuepushe na janga la corona. Walituona kuwa ni wajinga, tusio na maarifa. Mungu adhihakiwi wenyewe wamekubali kumuomba Mungu...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom