Ujue sisi tunaopata amani ya moyo pale tunapokuwa tumekaa peke yetu huwa tunaongea na kujijibu wenyewe mambo mengi sana.
1. Nilijiona mpweke sana nikajiuliza inakuwaje sina hata group moja la...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza makabila yanayopatikana Tanzania na nje ya Tanzania tukianziaa
1.wakurya wa Tanzania na wakurya wa Kenya.
2.wamasai wa Tanzania na wamasai wa Kenya...
Unaweza pishana na ex wako wala msitambuane...
Au wale wazee wa mizinga kila ukikutana nao unapishana nao bila wao kujua...
Achilia mbali wale wakiongea mate yanawatoka .. angalau now ukivaa...
Poleni sana WaTZ wenzangu kwa yote Mungu ni mwema kila wakati, Binafsi nazingatia ya Wizara ya Afya.. Japo nakula sana cha A town no Church, Maombi kila sehemu mpaka kwenye Daladala chooni nikiwa...
Huu ni Uzi maalumu wa kila mwanajamvi anaetaka lockdown
Maana wengi humu tuna taka lockdown na tumefikia hatua za kusema kuwa "Mimi na familia yangu tumejiweka lockdown"
Naomba ushere na wana JF...
Habari wanaJf, poleni na mapambano dhidi ya corona.
Kwa wale wenzangu na mimi wapenda movie/ tamthiliya mnaweza kuwa mmekaa mnaangalia movie yenu anakuja mtu ambae tayari alishaiangalia anaanza...
KIKAO CHA FAMILIA LEO SAA 3:00 USIKU
DONDOO
1. kufungua kikao
2. Sala ya kuombea Taifa dhidi ya KORONA
3. kuthibitisha dondoo
4. Kukubaliana kama tunataka kufa au la
5. Kama kufa tufanyeje
6...
Why Do A Lot Of Curvy Plus-Size Women Love To Be Around This Slim guy
It is no news that slim guys love to have a Plus-Size him, his lover as Plus-Size women crave romantic relations with slim...
(1)Furaha yako ikitegemea uwepo.wa mtu mwingine ni hatari sana,raha jipe mwenyewe.
(2)Kusave hela sio mpaka uwe unasomesha au unajenga,kuna mabalaa ya khafla yanayoweza kukuadhiri mjini mfukoni...
Habari wakuu.
Jamaa yetu tuko nae hapa geto sijui kapatwa na ugonjwa gani,maana kama wida,fegi,ugoro,pombe na bia vyote hatumii..LAbda mmaro yaani ile sigara ya tumbaku na gazeti,,, ndio...
Mch .Getrude Rwakatare wa Mikocheni B Assemblise of God anatajwa kumuchukua msukule mtoto wa Joyce Masali .
Taarifa hii imeandikwa kwa undani kwenye gazeti la kiu leo lakini wameficha jina lake.
Kwanza kabisa nianze kwa kusema "Fuata taratibu zote za kujilinda na korona "
Niende moja kwa moja kwenye mada yangu, aise ilikua mnamo mwaka 2005 shule la msingi X mkoani Kilimanjaro. Nakumbuka...
Hello wana chit chat..!
Weekend iliyoisha ilikua nzuri sana kwangu, nilispend kuanzia ijumaa mpaka leo j3 bado nipo mapumziko btw kazini naingia kesho.
Katika spend hizo nilikua nipo na mke...
HERI YA SIKU YA PASAKA WAKUU..
Kama kawaida leo ni sikukuu na hua sikukuu ndio siku ninayo import kazi niliyoilewa jf(piemu) angalau ije nyumbani tusherekee kwa pamoja. Watalaam wanasema jiko la...
Miaka nenda rudi nikiwa sina hela , usingizi hauji kabisa hata nifanyeje. Mpk nistue na bia kadhaa.
Mwenzangu ukiwa huna jiwe unalalaje ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo ya kuwaambia watu wanywee nyumbani, ukilewa unaweza kumshika beki tatu tako mkeo akiuliza unafanya nini? Unajibu kwani we ndo meneja wa hii bar?
tunaokunywa Kisha pombe zikakimbilia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.