Hapa kitaan kwangu kulika na kijikuku kisumbufu sana (kwa sasa kinawikia kwenye sufuria)
Kilikua kinanitesa sana, usiweke kitu ukajisahau kidogo tu basi ujue kasepa nacho.
Bahati mbaya ni...
Nipo ndan ya basi nimekaa na papuchi, nimenunua korosho kiroho safi nikasema nimgawie kidogo basi kakinga mikono miwili ile kumimina tu kumbe nimeshika pakti vibaya nashtuka zimeenda nyingi kwake...
"Dah aisee hii gari mbona bei rahisi sana, yani kuna siku ntaliagiza" ni kauli moja wapo ya watu wanaopenda kuperuzi mitandao ya kuagizia magari ila hawana pesa.
unazungumziaje hili
Yaani mi natembe zangu kwa miguu nawaza hili gonjwa la corona itakuwaje mfukoni sina kitu mvua imeninyeshea nimeloa nafikiririagetho naenda kula nini katika ile kupishana mi nilikuwa naenda yeye...
Kila kitu hapa duniani kina faida na hasara yake hapa Duniani. Pamoja na madhara makubwa ya hili janga lakini pia kuna faida pia kuanzia ngazi ya Dunia nzima mpaka familia;
1. Binadamu sasa...
Farasi Wa ajabu wameonekana uko Zanzibar Leo wajuvi hii ina maana gani. Au ndo siku za mwisho izi. Watu mliopo uko Zanzibar mtupe uhakika nimeikuta kwenye group whatup.
Sent using Jamii Forums...
Kimsingi watumishi wa umma wengi tuliohamishiwa Dodoma tunaishi maisha ya ajabu sana, bado hatujakubali kwamba ngoma ndio ishatoka hiyo na kifupi ikirudi ni panchaaa!wengi wetu tumepanga chumba...
Ni saaa 2:07am. Dem mwanamke yoyoye aliye online aje tuchati kiromNtic liveee sina ucingiz asa ntafanyaje afu nipo single
Sent using Jamii Forums mobile app
God, thank you for giving me the unique opportunity to be able to wish myself a happy birthday today in good health and happiness. I pray that You will continue to bestow blessings of health and...
Lara1 aka KuBwa la maaadui tumekumiss sana ujo wapi wewe.
Nini kimekupata au ndo ushawekwa lock up na cyber crime act .
Au ndo uchumi Wa Anko magu umekuyumbisha mpaka umekosa bando la kuingia...
Tuendelee kuepuka mikusanyiko sio na lazima kwa kipindi hichi tunachopitia Watanzania wenzangu.
Mimi ni mpenzi sana wa hizi soda, nikipata sehemu ya kupumzisha mwili basi lazima niagize kinywaji...
Tanzania ndo Nchi pekee lazima uchart na babe wako daily ili Usiachwe[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Boy: Marry me.. ?
Girl: Do you have a house.. ?
Boy: No..
Girl: Do you have a BMW car.. ?
Boy: No..
... ...Girl: How much is your salary.. ?
Boy: No salary.. but,..
Girl: No but. You have...
Kuna mzee mmoja huyo anapenda kurekodiwa, yaani kila akienda kanisani lazima arekodiwe na aposti mitandaoni picha na video, huyo mzee ni nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wadau huu ni udaku nataka niwape juu ya ili swala linalo endelea
Iv kwann nchi zote dunian hazikuchukua hatua za mwanzo kabisa kabla ugonjwa haujaenea na badala yake kusubir mpaka umeathir...
Hellow guyz
Naomba Leo tutiririke humu ndani juu ya vipindi vya TV zetu
Kipi unakipenda kiasi kwamba huwezi kukikosa
Na kipi ukikikuta emergency kwenye TV yako unaweza kuvunja remote kwa hasira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.