Nimekuwa nikisoma comment na post zake mara nyingi ni dada flani hivi ambaye aki-comment napenda kusoma comment yake, yuko positive sana na haonekani anajiona au kujiskia.
Na yuko funny kwa kiasi...
Wanandugu heri ya Pasaka kuna msemo nauona wanajf wanautumia sana ila mi sijajua umetokea wapi yaani una maana gani "baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani
Uzi tayari...
KAMA KICHWA KINAVYOJIELEZA
MABAHARIA ninao wazungumzia hapa ni wale watafutaji Wa maisha walioamua kujiripua kwenda nchi mbalimbali kutafuta maisha.
Tukutane hapa kwa ajili ya kusimuliana...
Wengine hawapendi kuzeeka na Wengine hawapendi kuambiwa wadogo.
Fahamu umri wako katika sayari zingine kwa kupitia link hii
https://www.exploratorium.edu/ronh/age/
Sent using Jamii Forums...
Dah yaani hapa roho inaenda mbio sijui kukoje,kwanzia nimetoka tanga nilikuwa na hamu ya kufika KARIAKOO,coco beach,na kule kwenye kivuko
Sent using Jamii Forums mobile app
Gwiji la makeke hapa jamiiforums limekuja na msemo mpya unaosema MRITHI MWANDAMIZI WA UPUMBAVU TANZANIA)
Hebu fikiria Mambo ambayo ukiyafanya unakuwa MRITHI MWANDAMIZI WA UPUMBAVU TANZANIA...
DUUH!! HUYU MWAJIRI NI SHIDAAA!!
Hebu soma hii
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Baada ya miaka minne ya kuajiriwa bila hata kuongezwa mshahara au hata marupurupu, Bwana John...
Najua wote hamjambo na pia mnaelewa vizuri kuhusu ugumu wa kupata kazi kwenye kitengo cha vinywaji kwenye sherehe hasa harusi kubwa kubwa na zenye kuhusisha watu wakubwa.
Mimi sema kweli nimewahi...
Baada ya kusoma juu ya utabibu kwenye mtandao wa YouTube kwa sasa nimeiva na ninataka kufanya majaribio ya kile nilichosoma kwa miaka zaidi ya 5 huko mtandaoni. Nilisoma kuhusu kufanya operesheni...
Ni vigumu kuamini Kama umetutoka rafiki yangu kipenzi Hamis Nyinza
Alisoma shule ya msingi UJIRANI iliyopo Kilombero alihitimu mwaka 2009.
Kisha akajiunga na elimu ya sekondari shule...
Uzi special wa kutafuta birth day partner wako mnao share pamoja siku na tarehe ya kuzaliwa hapa JF
Mimi leo ni kumbu kumbu ya siku yangu ya kuzaliwa tareh 7/4
Hivyo Mimi ni April guy
mama kapiga simu anataka nimtumie hela kidogo,Demu niliezaa nae kaomba ingawa yeye sina uhusiano nae tena,demu niliyenae kwa sasa nae katuma text nimtumie hela ili aje alale,ASA mi nifanye jamani...
Habari JF!
Kwa wale ambao ni waalimu na tuliowahi kuwa walimu tunajua nini kitatokea pindi mashule yatakapofunguliwa.
Wajanja wanatambua vile mithiani itakapotawaliwa na maswali ya Corona. Kwa...
Sasa naelewa kwanini yule mama wa Iringa alitoroka Quarantine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si walikataa 5 stars Hotel
Wameamua kuwakomoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasema kwamba hata uwe tajiri vipi huwezi kukosa deni. Lazima kutakuwa na mtu, kampuni/ benki inayokudai.
Wengine wanafika mbali zaidi na kusema kama mtu unaogopa kukopa na kudaiwa, basi huwezi...
Watu wa dar bwana,,,,,,,, kabla hujaenda ukimpigia simu anakwambia karibu saaaaaaaaaaaaaaaaaana kaka ukija usiachie kunitafuta[emoji23]
Ukifika ukimpigia kwanza anakuuliza uko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.