JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari zenu wakuu Tunaanza weekend sio mbaya nikija story nyepesi nyepesi mimi ninatokea kanda maalumu kwa asili ila nimezaliwa DSM na niko hapa maisha yangu yote sasa tokea tuko wadogo tulikuwa...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Daah, wabongo bwana nadhani majungu ni sehemu ya mada huko mashuleni, kuna watu ni wataalam. Yaani unaweza pigwa jungu mpaka wewe mhusika mwenyewe unaamini ingawa sio kweli. Haha, kuna baadhi ya...
1 Reactions
5 Replies
944 Views
Tufungiwe ndani kwa Corona Umeme ukatwe Tv stations zote zizimwe No radio Mawasiliano ya simu yazimwe Gesi iishe home No mkaa Mvua inanyesha nje Internet HAKUNA Jamiiforums shut down Freebasics...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Hivi nikichukua mwarobaini, aloe vera, majani ya mpapai, tangawizi nikachanganya nikachemsha halafu nikanifunikiza na nyingine nikanywa kwa cku tatu mfululizo. Siponi corona? Tusiidharau Africa...
0 Reactions
1 Replies
620 Views
Hii Dunia imetoka mbali miaka ya nyuma ilikuwa mtu ukimiliki Television mtaa mzima unaheshimika kuna watu hadi walioa kwa sababu ya kumiliki TV na wengine walikuwa wanapata shikamoo kila kona...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
" All men hate cold water". Kama Una mtoto wa kiume na hachukii kuoga maji ya baridi basi kuwa na uhakika kwamba mtoto wako huyo sio mwanaume kamili and probably ana kiwango kikubwa cha hormones...
3 Reactions
47 Replies
4K Views
kila siku natamani kwenda hii sehemu naiaikia saana, mwisho wa mwezi huu Mshahara ukitoka nataka nizame huko, naomba mwenye kujua napanda gari za wapi nashuka wapi, jinsi ya kufika naomba...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Wasalaam! Nimewaza kitu. Ukiwa kiongozi mkubwa serikalini (top layer) na wewe ni mtumiaji wa vilevi ama mla bata sana, unafanyaje kuenjoy ? Unaletewa home au unatoka out kwa usiri mkubwa sana ...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Kwa wale msio na usingizi usiku Kama Mimi karibuni tubaeilishane mawazo juu ya hivi vifuatavyo. 1. Biashara 2. Mapenzi 3. Kuwa na rafiki wa kawaida wa jinsia tofauti inawezekana? 4. Ni sahihi...
2 Reactions
143 Replies
9K Views
Waziii....!!! Wiii....? Basi nilizoea kuskia kwa vijana wenza mjini Chuo kikuu. Hii yote ni kwa sababu ya watu wa rika mseto wanavyo changa vizuri akili yao/zao kwa nia mbaya ya kutapeli...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
hizi video zinafurahisha sana
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wale wenzngu na mimi tunaowasha friji kwa masaa kadhaa na samaki na nyama wakiganda tunazima mpaka siku ya pili mupo? Nafanya hivi kuepusha gharama za units kwenda kama nyumbu bora tupunguze...
6 Reactions
106 Replies
11K Views
Atakayesema kichwa cha mbuzi yupi kilianza kuingia atakunywa soda/ bia kwa mangi.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kipindi cha kutongoza mwanamke huwa ni kipind kigumu sana kwa mwanaume haswa pale anapokua seriously na huyo mwanamke . Kipind hichi cha teknolojia vijana weng tumejikita kutongoza kwa njia za...
5 Reactions
45 Replies
6K Views
*UMEMUAGA mkeo unaenda kazini, ukapita kwa mchepuko wako, wakati unajimwaya-mwaya na mchepuko, mume wa mchepuko akagonga mlango, ikabidi ufichwe uvunguni mwa kitanda. Wakati bado upo uvunguni ka...
0 Reactions
2 Replies
969 Views
Tangu mambo ya Corona yaingie nchini Kuna Hali nmegundua, unaweza ona jumatatu jumanne Yaani iko kama wikiendi vile Kama Kuna Hali fulani imebadilika Ahh acha nizichape bia zangu chobingo fulani...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Nawaomba wadada Wa JF muwe mnaweka picha halisi ili iwe rahisi kufanya maamuzi sahihi. Yani nilimtokea mtoto mkali humu kwa kuangalia picha yake ya avatar baada ya kukutana live nilijikaza sana...
11 Reactions
100 Replies
6K Views
Nguvu za kichawi ,ushirikina falme na mamlaka za kuzimu zikuachilia kuanzia sasa . Uwe hai katika Jina la Yesu . The magical powers, the superstitions of the kingdoms and the powers of hell...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Unakuta jitu zima limewasha Laptop na WIFI liko Bar toka saa tatu asubuhi wakati wa supu hadi saa nne tano usiku . Umeambiwa ni kufanya kazi toka nyumbani na si kufanya kazi toka Bar --...
0 Reactions
5 Replies
787 Views
Katika mwili wa binadamu kuna viungo vya mwili ambavyo waweza kuta ufanyaji kazi ni mkubwa kuliko vingine, Hebu taja kiungo kimoja katika mwili wako kinachofanya kazi kuliko chenzake,kwangu Mimi...
0 Reactions
5 Replies
903 Views
Back
Top Bottom