1. Nimekaa zaidi ya mwaka mmoja bila kuchepuka.
2. Mwaka mzima sijaingia guest wala sijahonga wala sijavaa kondom.
3. Ni muda mrefu sana pombe haijapita mdomoni mwangu.
4. Nina zaidi ya miaka kumi...
Kuna mjadala umekuwa ukiendelea kwenye mitandao ya kijamii tokea mwaka 2018: Hii sauti unayoisikia inasema Laurel or Yanny???
A debate has been raging across the internet since 2018. What does...
Katika hali ya kushangaza na ya kushtua dereva bodaboda aliekuwa kavaa koti kinyume (nyuma mbele) na alikuwa hajavaa helment alianguka.
Wakati anagaragara chini kuhitaji huduma ya kwanza mimi...
Wazee si jambo jema kuleta hii kitu hapa ila anayejua afunguke huyu manzi wa pale Mawingu alifanywa nini na Mzee Almasi? Maana hii chuki si ya kawaida.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wale watu waliosemaga kuwa black hawafi na korona eti inaogopa ngozi nyeusi wapo wapi?? Alafu bhana kuna black people mweusi kama giza la usiku wa manane kaniambia corona virus haipati blacks...
1.Never have feelings for a sponsor.
2. Kila mwanaume ako na sauti but volume ni pesa.
3)Kama hakupanui mawazo....asikupanue miguu...
4)Kama wewe ni side chic ucheze chini Goat wife asikujue...
Kuna kitu kinanitatiza kidogo kwa wale wazoefu, nadhani wengi wetu tunapokuwa katikati ya faragha kuna haka kamsemo kanatokaga upande wa pili Baby chukua vyote ni vyako.
Sasa ni kitafsiri neno...
Pombe ya jana bado imenishikilia japokuwa baada ya kuamka ....Nimefata procedures zote za walevi....Kujitapisha mda naoga na kusafisha meno....Nikahakiki ...kuwa nimetapika nyongo...michozi...
Tetesi za usajili majira ya kiangazi msimu wa 2020/2021 vilabu mbalimbali vya siasa Tanzania
1. Winga teleza wa CHADEMA Saeed Kubenea amesema hana mpango wa kuhama klabu yake hiyo kuelekea klabu...
Tulio wai kupoteza watu waliochangia leo kuwa kama tulivyo.
Wana Jf.
Katika kuishi tunakutana na watu wengi sana lakini wapo watu ambao kamwe hatuwezi kuwasahau pindi wanapo tangulia mbele ya...
Zaidi ya mara mbili sasa kituo maarufu zaidi kwa habari nchini. Ghafla tu kinakatiza matangazo na kutuletea breaking news. "BREAKING NEWS: Idadi ya visa vya Corona nchini Kenya yafikia watu 172"...
#Andiko
'Basi vikashushwa vichwa vya Treni toka mbinguni kupitia baharini, mfalme akataajabu kwa baraka za mungu' Watanzania 6:18 = Bafaraj
nao makada na wapambe wakararua mavazi yao kwa Shangwe...
Bia ndogo ya Serengeti lager yenye 330ml Ina alc 4.8%
Je hii % ni kwa chupa nzima au @ml?
Je nikinywa kubwa5 naweza kulewa sawa na nikinywa ndogo5
Majibu Yenu Muhimu Kwangu
Daaaaakh
Sent...
Nimetumia kwa muda wa mwaka mmoja hii Transformer ina nguvu na umeme wake ni KV 5000.
Inatumia mafuta ya diesel na petroli ukitaka. Nakupa na risti nimejaribu kuweka picha zimegoma.
Niko Mbeya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.