Kama kuna chochote ungependa kushare basi ni muda wa kutukaribisha
Naanza mimi mwenyewe kuwakaribisha wale wote ambao wangependa kuchati na mimi pm basi mlango upo wazi, KARIBUNI
Sent using...
Watu wawili waliotambulika kwa jina la Joseph Omolo na Jackline Wambui wakazi wa Kakamega nchini Kenya wamelazwa katika hospital huko Kakamega baada ya kuzidiwa kutokana na kunywa dawa ya kuoshea...
Heey,
I hope you are doing good, it has been long since we see each other face to face.
I know I receive so many likes in here but whenever I receive your likes, it awekens my veins, brightens...
Kuanzia mwishoni mwa mwaka 2019 mpaka sasa hali yangu ya kiuchumi imeyumba kama kijana nipo katika harakati za kuhakikisha narudi kwenye hali nzuri ya kiuchumi tokea mwaka Jana nimekuwa mtu...
Habari wanaJF
Lengo la huu uzi ni kukutanisha wadada wote ambao wapo single
Wakituelezea moja mbili tatu kuhusiana na usingle wao
Karibuni!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi sijaona tofauti ya mzumbe
Ufundishaji,quality,cheti,na mengineyo ni vike vile tu.
Kampasi yoyote Morogoro,Mbeya na Dar es salaam.
we unaonaje?
Atakae tukana automatically atakua insane and...
Vile Roho Ina Muuma Mdada Aliyepoteza Usichana Wake Kwa Ajili Ya IPhone 6 Na Sasa Kuna IPhone 11 Pro Sijui Utapoteza Nini Tena Zaidi Ya Uhai...[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo nimeomba lift magari zaidi ya matano na hakuna hata moja lilothubutu kusimama na chanzo cha kuomba ni kutokuwa na nauli ilinibidi nianze hamza kanuni huku nikisikiliza nyimbo ya Samba...
Najua wengi wetu tuko mijini kiutafutaji,lakini kiasili tuna maeneo yetu ya asili ambayo tunatokea,wengine husema kwenye asili ya ukoo.binafsi weekend iliyopita nilikua huko.
Haijalishi kama babu...
Mazoezi ya ubongo ni mazuri katika kusaidia kuimarisha uwezo wetu wa kufikiri na kuongeza udadisi.
Nimekuja na hii washindi watano wa kwanza watajipatia vocha.
Nobody.
Baada ya piga nikupige, kujinyima, kukwepa mambo mengi hatimaye nimemalizia plasta,madirisha(grill) mlango(grill) sjamaliza mambo kadhaa mf blundering, skimming nk nini muhimu cha kuendelea nacho...
Mpishi mzuri ni yule anayejua kucheza Na chumvi,kwani chumvi ndo mwamuzi wa mwisho kuwa chakula kiwe kibaya au kizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba tupige kura kwa MTU wa hapa nyumbani ambayo tunamwamini anaweza kutisaidia kushindana na Corona kutokana na uwezo wa akili na mawazo yake juu ya maslahi mapana ya nchi hii
Wapendelezwa ni...
Leo bhana wakati tunaendelea na ibada yetu ya pasaka kanisani ukaimbwa wimbo maarufu sana ambao ukiimbwa kipindi kama hiki pamoja mi dhambi yangu yote huwa najihisi kama napaa vile.......Kwa...
Ngoja tuondoe stress za Corona kidogo, kwa hii ndoto.
Iwapo utapewa nafasi ya kuchagua pa kwenda kipindi hiki utoke ulipo na familia yako kwa muda wa miezi kama sita hivi na utalipiqa gharama...
Sijawahi kuona Pasaka ambayo Wachungaji na Makasisi wengi ' Wamenuna ' na wana ' Hasira ' hata Nyusoni mwao kama hii ya leo. Kuna Kanisa Moja Wilayani Kinondoni Siku zote Saa 2 Asubuhi huwa '...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.