Hii ni baadhi ya misamiati/maneno ambayo huwezi kuisikia mikoa mingine zaidi ya Lindi na Mtwara, me naanza na hii:-
Kudekelela
Kunyenga
Kunyeng'elesa
Mwandu
Nchonyo
Nang'ongo
Ming'oko
Kwapwapwasa...
Kibongo bongo inaaminika kua ili uwe mwanaume basi inatakiwa uwe sahbiki wa mchezo wa mpira.
Upande wangu kama Me nimejitahidi sana kuangali mpira ila nimeshindwa kabisa. Nina mpenda na...
By Sangu Joseph
Nimejaribu kufanya kautafiti uchwara juu ya kuokota hela na nikauliza watu mara ya mwisho umeokota hela lini na Kwanini sasa ni ngumu kuokota hela.
Kila mtu alijibu lake Ila...
10. moudgulf
Huyu ni anafunga top ten.
Jembe ana messages 79,098.
Reaction score inasoma 440,722.
Joined Jan 23, 2017.
Big up mkuu.
09. Mmawia
Namba tisa wetu huyu.
Jembe ana messages 84,543...
Hivi hawa wanaojiita wanasayansi haya madubwana wanayatoa wapi..hivi hata wao wenyewe wataweza kweli..bila kulewa
Nimenunua mafuta flan ya kupaka mwilini..sasa nikawa nasoma yaliyomo ndio...
Toka nimejiunga humu ndani nimetokea kumkubari sana, ledada kutokana na misimamo yake, na naweza kusema mimi ni shabiki wake wa kutupwa.
Na hauniambii kitu kuhusu ledada wa humu jf, wewe...
Hii shule niliipenda sana nilisoma pale maiaka miwili pale ..nilienjoy kusoma advance mahali pale kwani shule hii ilikuwa na Uhuru wa kutosha..Wengi tulikuwa tunatoroka weekend kucheki mpira pale...
Kuna watu wanaamini walipo si sahihi. Lakini wanajikuta hawana jinsi.
Mfano katika masuala ya uraia, kabila, mahusiano, rangi, umbile nk
Sasa mfano ungepewa nafasi ya kuchagua UNGECHAGUA nini...
Wengi wao japo siyo wote hunywa sana Gongo na Pombe za Kienyeji ila sasa ni Wiki ya Tatu hii baadhi yao ninaowajua na ninaokuwa nao Maskani mbalimbali hawanywi tena Gongo na Pombe Chafu bali sasa...
Niaje wazeiyaaah...
Mko Bwaxx...
EBANA SAWA :
Nimetoka jijini mara moja nimekuja mikoani huku kwa majukum ya kiofisi...
Kitu nilicho notice ni kuwa :
Nilipoiacha Chalinze tuu, kuanzia pale...
Habari ya muda huu wanajanvi!
Kama mada inavyo jieleza hapo juu.
Hizi ni njia tatu bora na rahisi za kupunguza kitambi ambazo huitaji kwenda jimu au kukimbia kwenye ukingo wa bahari.
NJIA YA...
Nimewaza na naona ni rahisi kuzuia message yako isiende kabla hujaihariri.
Ni rahisi. zima Data kwenye simu yako, kwenye ama mtandao mwingine wwt hakikisha hatuna connection/ hakikisha upo offline.
Sikuwa najua kumbe huyu mlinzi wa hii Kampuni kubwa ya Ulinzi hapa DSM usiku ana mwalika mwenzie aje alale kibarazani pangu apigwe na AC.
Unajua mimi kwenye hii apartment ninayoishi ina vyumba 4...
Nimewakumbuka sana mates wangu tuliosoma jang'ombe pri . Sch mwaka 1988 std I darasa la bi laki na std II darasa la bi Mwanatau ama std IV darasa la Mw . Ahmed fadhil Km mtauona uzi huu...
Nimeona POST ya jamaa mmoja akilalamika kuwa WAZAZI WAKE WALIMFUKUZA NYUMBANI.
Daaahh..!!! KANIKUMBUSHA sana SHANGAZI YANGU...
Ngoja nimpe TESTIMONY yangu kidogo......
Kifupi mi ni YATIMA tokea...
Mjomba wangu Katoka Nairobi week iliyopita, alipimwa akaonekana hana virusi vya corona lakini akaamua ajiweke karantini kwa siku 14 ili kujiridhisha, jana nilipomtembelea ndio nikashuhudia kumbe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.