Huu ni Mwaka wa Tano sasa sikaribishwi katika Sikukuu hizi Kubwa Kubwa kama ilivyokuwa zamani.
Hadi nimejiuliza kwani Watanzania wa kuanzia mwaka 2015 hadi leo hii wana nini na mbona hawafanani...
Siku za hivi karibuni baada ya ujio wa mitandao ya kijamii; nchini Tanzania kila kitu kimekuwa utani na hivyo kufanya mambo kuwa mepesi na msongo wa mawazo kupungua.
Kwa ufupi tunapeana...
Wakuu, mko poa?
Ebana niko mkoa flani kikazi nikaona ngoja niende bar kutandika vyombo,nimekuta Heineken zinauzwa 6 kwa 13,500/=, nikaona ngoja nipige Heinken tu.
Sasa nashangaa watu wa jirani...
Hizi Ni baadhi tu ya sifa za muonekano wa nje wa idara pendwa afrika.
1. Utulivu hakuna kelele.
2. Hakuna movement za kutoka na kuingia.
3.Kuta ndefu au hejezi zilizokatwa vizuri.
4.Tujamaa twa...
Hivi huyu mdau anaitwa nani?
Maana nimemuona kitambo kidogo..
Tushazoea kujua majina ya mabodigadi wa akina Diamond na Young Killer.
Em tusaidiane kumjua huyu mdau.
Sent using Jamii Forums...
Mambo mengine ingawa ni ya "kweli" kabisa na ni "imani" ya wengi, lakini inabidi yawe jukwaa hili la utani. Maana mahari ya govi ni zaidi ya utani.
Nimecheka sana tena kuona kuwa mkono wa sweta...
Habarini Wana JF wote
Mimi mzima wa Afya, ombilangu kwenu ni kuwaomba ushauri tuu kuhusu mtoto wa kiume nimtarajiae wiki mbili mpaka tatu zijazo
Natarajia kupata mtoto wa kiume, NAOMBENI JINA...
Huu ndio ukweli japo wale wanao jiita wamikoani watapinga na kutoa povu lakutosha kabisa kufilia mitumba walio nunua kwa mafungu siku za minada huko vijijini kwao ili waweze kutazamika angalau...
Tunaingia humu JF kwa kutumia hizo njia mbili embu tuambie wewe unatumia ipi kati ya hizo?
Muambie mtu ambae hatumii njia yako vitu ambavyo vinakukera na vinavyo kuvutia zaidi katika njia yako...
Habari za weekend wakuu.
Katika maisha mambo ni moto kuna kupanda na kushuka. Kuna kipindi unaenda kwa wakala unashindwa kumwambia natoa buku au akuunge kifurushi maana hali ni ngumu. Na siku...
Nawatakia jumapili yenye baraka
Sio kila siku kuja na list ya wakongwe wkt kuna list nyingi tu....wafuatao ni list ya members wanaokimbiza kimya kimya na wanaokuja kwa kasi hapa JF yaani...
Kama mwana jamii unaombwa u comment jina lolote ulilowahi kulisikia duniani, iwe la kingereza, kiarabu au lugha yoyote na ikiwezekana na maana yake ili isaidie hata kwa wale wenzetu ambao huwa...
Salaam!
baada ya salama niende moja kwa moja kwenye mada. Ni juzi tu hii wakuu mmekula pasaka tena bila kujali hamkutualika wala nini mkawa mnajichana kivyenu vyenu.
Sasa wakati wa kuwanyoa...
Kwani kwa Mtu mzima kama ikitokea amejamba kwa bahati mbaya au hata nzuri vile vile mbele ya Watoto akikiri tu au akisema kuwa Mjambaji ni Yeye na asitafutwe Mwingine kuna Kosa lolote au ni Dhambi...
Wadau kuna wakati unakutana na Fact unatamani kushare na wengine waone na wajifunze kitu.
Weka fact yako hapa inaweza kuwa ya kufurahisha, kuelimisha, kuhuzunisha, kuonya, n.k.
Mimi naanza na...
Tumekwishaelezwa kuhusu maeneo mbalimbali ya utalii ya kwenda ku-refresh mind, na kustaajabu malimwengu; je katika yote ni wapi unatamani uende kabla mungu hajakuita? Tangu vivutio vilivyopo hap a...
Kwenye maisha yetu ya kila siku na JAMII inayotuzunguka Kuna watu hutokea kuwa WATUNDU Sana....
Mpaka wengine kupewa jina la "TOTO TUNDU" Hivi watu wa Aina hii WAKIZISHIKA pesa a.k a mapene au...