Mwalimu akiwa katika mazungumzo na wanafunzi wake akawaambia "Kama jana ingelikuwa kesho basi leo ingelikuwa jumamosi" je mwl aliitoa kauli hiyo siku gani?
Binafsi sina jibu😝😝
Naona viongozi wetu mjengoni wanaomba huu mmea uharalishwe watu wawe wana piga kama fegi yani hakuna kukamatwa tena si ndio waungwana?
Sasa mimi nataka nianze kuijaribu japo sijajua ya wapi ni...
Nimeenda PM kwa wanawake 29, mmoja tuu ndio nilimwambia mambo akajibu "kwa yesu!" wengine wote wapo kimya, nioneeni huruma nahitaji upendo wenu, wadada wa jf nawapenda sana jibuni meseji.
Nipate...
Binafsi nimeamua kuzunguka mikoa kadhaa apa nchini kujua maeneo na fursa zilizopo, nimetembea wilaya za mwanza, now nipo shinyanga, nikitoka ntaenda kahama mdogo mdogo mpaka nifike nyumbani.
We...
Leo ni sikuku ya wajinga, Dunia ina adhimisha sikuku hii ya wajinga huku ikiwa ina pambana vikali na janga la corona.
Herini ya sikukuu mapopoma wote, mautopolo wote, wajinga wote
#AprilFool
Wakuu hivi ni Jambo gani ulilowahi kufanya utotoni...ukiwaza unabaki kucheka tu????
Mimi binafsi kutokana na kukulia bushi chini ya miaka kumi Gongo haikuwahi kuniletea wenge kabisa,home ilikuwa...
Nisiwe mchoyo wa fadhila kwa upendo ambao ndugu zangu wawili wa JF waliamua kushiriki nami weekend iliyoisha jana. Kwa kweli jamaa walifurahi na kufurahia.
Wengi walishangaa mzee alipoamua...
Kati ya vitu vina chosha na stress mingi. Ni hivyo.
Nawa,nawa nawa Yan nikunawa mpaka basi, Sinitizer mpaka kero,
Mashart mengine magumu
Ni Kama
1. Usisalimiane kwa mkono.
2. Usichumu/...
Habari wakuu,
Hebu leo tucheze haka kamchezo.......ni hivi...katika kukoment....unaandika Yale maneno yanayojidisplay kwenye keyboard ya simu yako kufuatisha vile vijumba vitatu......mfano
Thanks...
Naomba andiko kutoka kwenye bible or quruan unalolipenda na kulikumbuka mda wote
me naanza na
Mithali 1:10
Mwanangu wenye dhambi wakikushawishi wewe usikubali
Ni tabia ambayo sijui imeanza vipi na sijui nimeizoea vipi na kama ni jambo la kawaida kwa wengi au la, ila nimejikuta nikiingia kuoga natumia muda mwingi kuwaza mambo mengi kuliko muda wa kuoga...
Mwana jopo kheri ya mwaka mpya.
Katika uzi huu tunaenda kuandika umri wetu na mambo ambayo kamwe hatuwezi kuyafanya katika umri huo.
Nitaanza na Mimi mwenyewe.
Nina miaka 35
Siwezi kuwa...
Great thinkers! I heard someone saying that America as a nation has its own secret GOD. Looking from its dollar note, there are words IN GOD WE TRUST right at the middle. They are not referring to...
Haya maneno hua yanatumiwa na watu wa jamii forums kutokana na uchunguzi wangu ngoja nianze kuyataja haraka bila kupoteza muda.
1. MKUU: hili meno utalisikia kwa baadhi ya watu humu humu...
Tuziondoe stress za kuwa tutakufa kwa Corona kwa kutaja uwongo mkubwa tuliodanganywa kpind hicho.
Mi mzazi wang aliwahi niambia kuwa watoto wanauzwa hospitalini baada ya yeye kuondoka na kurudi...
Hakuna kitu kinatia aibu kama kuanguka mbele za watu yaani hata kama ni bahati mbaya lazima uishiwe na nguvu na kujiamini kunapotea kabisa ikikukuta ndio utaelewa vizuri .