Kuna muda unakuta mada unaamua kuchangia. Unaanza kuandika kisha unaona ni mizenguo tuu unaamua kufuta ulichoandika kabla haujapost.
Ni sababu ipi inapelekea unaifuta comment yako badala ya kuipost?
Wadau natafuta Manager. Awe na sifa hizi. Mdada mzuri ambaye hajajichubua.mwenye degree ya Hotel Management au Human Resource. Awe na uzoefu wa kazi zaidi ya miaka 2 hotel ya 4-5 star.
Awe na...
Kwenye ndoa ziwa likilala maisha Yanaendelea Kama Kawaida ila uume ukilala Hata week Moja tu vikao Kila Siku but why! [emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikitu gani chaajabu/kijinga ulicho Wahi Kufanya Mpaka leo imebaki siri Yako lkn ukikumbuka unacheka na kujiuliza ilikuwaje
Naanza na mm nilimuona Mama Mdogo kaingia Toilet Enzi hizo Yeye...
Nakumbuka mnamo mwaka 2012 nilikua zangu pande za keko ilikua ni kipindi cha pasaka, basi kuna dada mmoja hivi alikua anauza mgahawa tulikua tushapanga miadi tukutane gest iko maeneo ya tameko(...
Njooo hapa tusheee uzoefu wetu baada ya kushauliwa na Dr tumeze siku tatu. sisi tukpiga siku moja tu ili tuwai gambe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mamlaka ya mawasiliano ama basata kwani mko wapi au hizi picha hamzioni nahisi humu vibaraka wenu wamo sasa hili si la kufumbia machokwa hali hii waungwana tutafika kweli?
Mwanaume wa Dar anasifa zifuatazo.
1. Mzembe kiasi kwamba mbu tu anamuua kwa dawa ya tsh 8000.
2. Anapenda kula chips kuliko ugari.
3. Anatumia vumbi la Congo,putululu,kasongo mundende,kiboko...
Wakuu habari za shughuli,nazani ni njema wakuu.
Kuna hii ishu tumekuwa tukibishana bila mafanikio ,kwa humu jf naamini ntapata mwanga.
Ni swali ambalo lilizua utata maeneo fulani.
Swali...
Jaman wazima humu
Hakuna sehemu wanaume wanajifanya wajuaji wakila aina ya kitu kama humu ndani
Ujuaji,majivuno yaani wanaume wa humu hakuna kitu kabisa kila aina ya kitu wanaijua wanawake wenye...
Habari kwema wana jamvi...!!Ebhana kuna izi You tube chanel za awa watu wa Asia mashariki na kusini nchi kama Cambodia Malaysia aisee wana You tube chanel zao ambazo content zao zinahusu uwindaji...
Nipo tu hapa nasikiliza Music wa Taratibu huku nikicheck News mwenye Screen yangu ya inch 72. Nmekuwa Mnyonge maana weekend hii jumamosi nlipaswa niwe na family Dubai.imekuwa kinyume. Mzee na mama...
Huyu Jamaa Ni moja ya watu weny vituko sna jamii forum
Sikuwepo JF kwa kitambo kidogo ila nilipo Rudi tena Kuna wapya wengi wapo na baadhi ya wa zamani wapo pia
Huyu Jamaa ku mcheck kapigwa...
Tangu asubuh nmefungua duka, utazani nauza maji ya kunawisha watu mikono mimi jamani?
hii mara ya nne ndoo inaisha najaza watu wanakuja wanauliza bidhaa nawatajia bei hawanunui kazi kunawa maji...
Natumai mmeamka salama wakuu.
kila mmoja wetu ataje starehe zake 3 ambazo ndo kila kitu kwake na maelezo yake.
zakwangu hizi hapa:
1. kugegeda
2.intanet
3.mpira
kugegeda hurefresh my mind na...
Actually kila kiungo katika binadamu kipo namna kilivyo pale kilipo kwa sababu maalum, sio hivihivi tu for no reason.
Sasa cha ajabu na cha kushangaza ni pua kutokuwepo utosini ilihali kuko ndio...
Jielezee bila kutaja jina lako wala kazi yako wala shughuli unayoifanya.
Me naanza mimi ni mtu mwenye upendo sana.
Wewe je?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutoka
1.karanga na nazi
2.kahawa
3.mchuzi wa pweza
4.Mkongoman (vumbi)
Updated list vimeongezeka
5.kachupa ka sanitizer na
6.Mask
Yaani hapa tunapiga show salama kabisa ,sahau kuhusu condom...
Utapenda umiliki nini kama ukibaki kati ya watu wachache watakaobaki Baada ya Corona kumaliza idadi kubwa ya watu duniani.
Mimi naanza:
Ikulu magogoni ya kwangu.
Sent using Jamii Forums mobile app