Admin wa Jf ajulikanaye kama Spiderman ni noma!
1: Alizaliwa mwaka 1974
2: Jf ilianzishwa 2006
3: Alijiunga Jf mwaka 1970 {kabla ya yeye kuzaliwa!!!! }
Shikamoo admin!
cc figganigga Heaven...
Nimekuwa nikisikia hii kauli toka nikiwa mtoto hadi leo. Ni kauli inayotolewa kama kutia moyo, kurudisha morali iliyopotea/kuelekea kupotea au kusifu pale unapofanya kitu au kufikia mafanikio...
Hili gonjwa lililokurupuka kutoka uchina linasimuliwa kabisa kwenye filamu hii exactly kama kinachotokea sasa hasa huko uitaliano uchina na maeneo mengine yote duniani...hii filamu baada ya...
Ujio wa corona unakwenda kuharibu biashara ya ngono kwa kiasi kikubwa napata hasira sana
Vipi wanaume mmejiandaa vipi kwenye hii kadhia nadhani wanawake njaaa inasogea kwa kasi ya ajabu sana...
Kama Unaitwa Julieth unamiaka 25 Unakaa Kimara... Mama Yako Anakusema Kwenye Daladala Eti Uko mvivu Sana, Hujui Kupika, Unapenda Pesa, Starehe Na Hata Ukiolewa Huwezi Kudumu Kwenye Ndoa.
Mama...
Niliwahi sema hili kipindi fulani kuwa tutafute pesa kuna siku zitafika dunia haitakuwa sehemu salama kuishi hapo tutatakiwa kuhamia sayari nyingine.
Mimi nmejiandaa tayari leo nimekamilisha...
Jamani tunajua kila mtu saivi anasikilizia mshahara wa mwezi huu march utoke. sasa ukienda ATM yoyote usikimbilie kuingiza kadi na kubonyeza vitufe kuangalia salio. bali tumia mbinu hii kujua...
Nilienda kumsalimia ndugu yangu huko hospitalini ila katika pitapita zangu huko nikaona kuna mtu mzima msumbufu balaa anaogopa kuvutwa damu kwa sindano ili wampime anaumwa ugonjwa upi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi naanza na huu ugonjwa corona kumbe niugonjwa uwapatao watu wenye vigugumizi na wanyemakunyazi kichwani kama mganga aliewatapeli familia ya mzee mwenzetu...
Siku kama ya leo miaka kadhaa iliyopita I came to Earth through beautiful woman ever my MAMA. Thanks my almighty God for priceless gift of life filled with a lot of blessings upon Me[emoji1545]...
*Unaenda UKWENI...asubuhi unakaribishwa chai unaandaliwa wa kwanza wewe mezani unakuta kuna sahani ina chapati 3 na wewe unazila zote...*
*...wakati unamalizia kula ile chapati ya 3, baba mkwe...
Utaratibu wangu huwa Mara chacha huenda Misa kila ifikapo Noeli na huu utaratibu nimelithi toka enzi wazazi wakiishi Kigalathia.
Leo mapema nikijiaanda kwenda huko kupunguza dhambi na kuomba...
Poleni na pilikapilika za Corona. Hongereni mliochangamkia fursa kwa kuuza vitakasha mikono.
Familia nyingi hasa hizi za kitajiri za madaraja ya A B na C wana utaratibu wa kutoa oda ya chakula...
Sasa sijui kwa nini inakuwa hivyo nyama huwa hainogi ukiwa mwenyewe,
"Niko hapa mjini Eneo flani hivi mwenyewe tu nimeagiza kitimoto Nusu na Robo (robo tatu) na viazi vya buku jero.
Nyama iko...
Kuanzia leo nafuta nyimbo za EMINEM zote, narudia tena nafuta zote maana haiwezekani mtu mzima anikoromee hivi.. hata bibi hajawahi kunikoromea kiasi hiki. Shwain
Sent using Jamii Forums mobile app
Namshukuru Mungu kwa kuniongezea mwaka mwingine nashukuru kwa kuendelea kuwa na afya njema na nguvu na wengine humu ambao tuna kumbukizi za siku ya kuzaliwa muwe na maisha marefu.
ni kijana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.