Jeshi la Polisi linamtafuta mwanaume mmoja Benito Chalo (23) anayetuhumiwa kujiua na kutoroka.
Jeshi la Polisi linawaomba raia wema kutoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa kwake.
Sent using...
hivi ukiwa umetoka kanisani na una hisi njaa na nyumbani pana ka umbali unaweza kupita ama kuingia bar ukapata japo supu au mchemsho ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye nyumba za kupanga moja hivi kuna mpangaji mmoja huwa anachukua mda mrefu kuoga, akiingia yeye lazima achukue dakika kam arobaini. Wapangaji wenzake wanachukia Sana maana inawabidi wasubiri...
Wajuba ni viplo?inakua mambo ni nini asee fas izo mnazo'reprezee..Mko full au vipi??Yechu...
Jana jioni nikiwa kisanga Kingstone duas ya Maskani apa kati nikiwa nime'chill nje napigwa izo...
Hakuna watu wanaotia huruma kama wale ambao ....
1.kipindi wana ajira walikuwa wanawaona wasio na ajira wamebweteka sasa hivi na wao wapo kitaa
2.wenye tabia za unoko unoko za kuchongea wenzao...
Kama unayahisi haya yafuatayo ndani ya mwili wako
1)kichwa kuuma
2)kutoona vizuri
3)hali ya joto kias
4)kukaa kama umechanganyikiwa
5)kukosa usingizi
6)mara nyingi kiujikuta ukishtuka ovyo
7)kuwa...
Kwanza napenda kushukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipea uhai na afya njema mpaka nimefika salama siku ya leo tena.
Pili kwa dhati kabisa naomba niwaombe radhi wale wote ambao nimewakwaza na kuwakosea...
Great thinkers ni moja kati ya thread nzito (For Pure Great Thinkers),ukijaribu kuingia unakutana na haka katangazo.
>>YOU HAVE INSUFFICIENT PRIVILEGES TO POST THREADS HERE<<<<<<<
GLU ™
Apartemen Kalibata City dari dulu sangat terkenal akan harganya yang murah. Lokasinya sendiri ada di Bilangan Kalibata, lebih tepatnya ada di Jalan Raya Kalibata, Rawajati, Pancoran, Jakarta...
Katika maisha yangu siwezi kusahau siku ambayo nilikua jkt 821 kj bulombora Egle coy mujibu wa sheria nikiwa katika harakati za hapa na pale za usumbufu wangu nakujikuta mjanja
Nilikua mzee...
Nilianza darasa la kwanza nikiwa mkubwa kidogo, nilikuwa na miaka. Nikiwa darasa la pili nilikuwa naweza kucheza karata kwa ustadi mkubwa. Ikafikia point nikatega shule nikawa nakwenda kijiweni...
Hello JF,
Kuna haka katabia ka sisi Wabongo kutokuwa wakweli pindi tunapokuwa na miadi na wenzetu, mimi leo yamenikuta.
Kuna jamaa nilikuwa na miadi ya kukutana naye asubuhi ya leo saa moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.